[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni mkusanyiko wa wakuu wa shule za kata
Ni mimi!Mkuu una undugu na@mbao za mawe? reply zenu zinafanana sana! ila naona mbao za mawe kapotea ghafla!
Wewe tunakuita Kikuu,hujafikia hadhi ya kuitwa MkuuYan ad Mimi mkuu, [emoji23]
Hahahaha ati Kikuu...hahahaha yaani umenitonesha...hawa Kikuu wamenitapeli mkoba wangu huu mwezi wa tatu haunifikii. Huyu tumwite mjukuu kabisa[emoji23]Wewe tunakuita Kikuu,hujafikia hadhi ya kuitwa Mkuu
Unanitisha sasa,maana kuna kitu nmekiona nikasema nikipata mkwanja niagize kumbe hawaaminikiHahahaha ati Kikuu...hahahaha yaani umenitonesha...hawa Kikuu wamenitapeli mkoba wangu huu mwezi wa tatu haunifikii. Huyu tumwite mjukuu kabisa[emoji23]
Unanitisha sasa,maana kuna kitu nmekiona nikasema nikipata mkwanja niagize kumbe hawaaminiki
Agizaaa. Kila mtu na bahati yake ujue.
Wee unasemaje mkuu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Bahati ipo kwenye betting tu mkuu,siyo kwenye mambo hayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Stop umetukana "mkuunduyangu " omba radhiMkuunduguyangu kua mpole utaelewa tartiibu,ni muda tu utafanya wambele wainame wanyuma muone!
muulize mamako[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Tatizo wewe ni mgeni ndiyo maana unauliza mkuu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]