Eti huku JamiiForums mbona kila mtu ni mkuu! Mna maana gani?

Eti huku JamiiForums mbona kila mtu ni mkuu! Mna maana gani?

Mkuu no neno ambalo halina jinsia,maana humu unaweza muona mtu ana ID ya kike kumbe ni man na ukamkuta ana ID ya kiume kumbe ni mdada sasa kuepusha shida unaita Mkuu basi
 
Back
Top Bottom