Eti huyu anaitwaje?

Eti huyu anaitwaje?

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,604
Ni fundi cherehani au fundi nguo, maana nasikia wanamwita fundi cherehani wakati hatengenezi cherehani anatengeneza nguo.


fundi cherehani xx.jpg
 
Ni fundi wa kushona nguo.............
 
Wasambaa ndio wa kwanza kuharibu lugha maana wengi wao utasikia wanasema mimi ni fundi cheehani

inasemekana wanaipenda sana kazi hii na ile ya UDEEVA
 
Back
Top Bottom