Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,604 Sep 19, 2014 #1 Ni fundi cherehani au fundi nguo, maana nasikia wanamwita fundi cherehani wakati hatengenezi cherehani anatengeneza nguo.
Ni fundi cherehani au fundi nguo, maana nasikia wanamwita fundi cherehani wakati hatengenezi cherehani anatengeneza nguo.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Sep 19, 2014 #2 Ni fundi wa kushona nguo.............
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,604 Sep 19, 2014 Thread starter #3 Preta said: Ni fundi wa kushona nguo............. Click to expand... Basi kuna watu wanamwita eti fundi cherehani, waswahili bana. Asante Preta.
Preta said: Ni fundi wa kushona nguo............. Click to expand... Basi kuna watu wanamwita eti fundi cherehani, waswahili bana. Asante Preta.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Sep 24, 2014 #4 Wasambaa ndio wa kwanza kuharibu lugha maana wengi wao utasikia wanasema mimi ni fundi cheehani inasemekana wanaipenda sana kazi hii na ile ya UDEEVA
Wasambaa ndio wa kwanza kuharibu lugha maana wengi wao utasikia wanasema mimi ni fundi cheehani inasemekana wanaipenda sana kazi hii na ile ya UDEEVA
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Sep 24, 2014 #5 Maumba