Eti huyu mchaga anatoa wanawake mimba kwa kutembea nao

BatteryLow

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
446
Reaction score
149
Hii habari niliisikia mara ya kwanza kwenye baa moja Arusha. Wahudumu wa baa walikuwa wanamshauri mwenzao aliepata mimba, badala ya kwenda kwa dakitari kutoa alipe pesa nyingi, aende kwa mtu fulani, wakamtaja na namna ya kumpata.

Ninachotaka kufahamu, inakuwaje mwanaume atembee na mwanamke mimba itoke, naomba kujua huo utaalamu.
 
Labda huyo jamaa ni daktari, ana hospitali halali au hospitali bubu, na kugegeda ndiyo malipo ya huduma hiyo.
 
Si vizuri kuumiza kichwa kwa habari hizi za walevi
 
Labda huyo jamaa ni daktari, ana hospitali halali au hospitali bubu, na kugegeda ndiyo malipo ya huduma hiyo.
No, siyo daktari na wala hana hospitali, yaani yeye kitendo cha kutembea (kujamiiana) na mwanamke mwenye mimba basi hiyo mimba inachoropoka.
 

Za kuambiwa changanya na zako!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…