eti inasemekana kuwa.......

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Inasemekana mwanamke asiepata kichapo kizuri cha chakula ya wakubwa mara kwa mara huwa bitter........kama umewahi kufanya kazi chini ya Boss mwanamke au unafanya kazi na wanawake ambao hawapati "ile mwili inataka" wanakuwa wakali wakali tuuuu....wengine wako humu, from nowhere unatukanwa 4 no reason....
 
hebu wa humu tupe mifano tuwaulize kama n kweli then tuendelee.
 
Ni kweli kama mwanamke hafikishwi kileleni anakuwa MBOGO ile mbaya.
Bila sababu yeye atanuna, ukimsalimia unakuwa kama umeupitisha moto kwenye tanki la petroli.
Kazi kwako.
 
Wapo wengi humu....
da sophy, nyamayao, mj1, fl1, js, roses, bht...endles list....
Hapa tunataka ushuhuda!
 
Nyamayao.


yaani ndio umenitaja hivyo kwamba mie ndio muathirika wa tukio? sawa bwana lakini shem wako anajua wajibu wake sana tu haiwezi kunitokea hivyo, nimekumiss aisee, nani kakuficha kihivyo?
 
Wapo wengi humu....
da sophy, nyamayao, mj1, fl1, js, roses, bht...endles list....
Hapa tunataka ushuhuda!


mie kwa kweli hapana, mie ukali wangu ni wa kawaida hauusiani na hicho kitendo coz shemeji yako anakifanya ipasavyo, labda angemaanisha wanaozidiwa na tukio ningesema...lol
 
mie kwa kweli hapana, mie ukali wangu ni wa kawaida hauusiani na hicho kitendo coz shemeji yako anakifanya ipasavyo, labda angemaanisha wanaozidiwa na tukio ningesema...lol
Niulize kaswali kadogo...
Hivi asipokuwepoa kwa muda mrefu inakuaje? au kuna kaserengeti boy?😛eep:
 
Hiyo ya ukali wa mtu na kichapo, ndio naipata leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…