Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
huo utafiti unakaukweli wengi wao hawako nomal ila inategemea aina ya maisha anayoishi na msimamo wake katika imani. ila kuna kabila moja sitaki kulitaja hapa ila matusi, dharau na kufokea hata wanaume ni Desturi yao, yani hawana heshima kabisa, kuna mmoja alikuwa bosi wangu mpaka mumewe alikuwa anamfokea, hayo makabila nafikiri yako matatu hivi si jui wenzangu mnayajuaaaaa maaana ni mcharuko kwa kwenda mbele:help:
wamburu hao!....hapo kwenye bold; ii hapa JF where we DARE talk openly inakulinda ! Weye taja tu hata 10 mie silifahamu hata moja!:help:
Well,,, LAKINI WANATOKA NJE SIYO? Kwa nini wanatoka nje ya ndoa?:help:
Siyo kusemekana, ni kweli: Mwanamke yeyote yule ambaye yupo kwenye mahusiano na "hafikishwi kileleni" huwa ana tendency ya kujisikia upungufu - depression fulani (assuming kuwa alishawahi kufikishwa before). Kwahiyo mara nyingi hiyo hali umfanya ajisikie "kisirani" (sio hasira as such) kwa kuhisi kuwa either havutii tena or hawezi tena kufurahia "tendo"