eti inasemekana kuwa.......

eti inasemekana kuwa.......

huo utafiti unakaukweli wengi wao hawako nomal ila inategemea aina ya maisha anayoishi na msimamo wake katika imani. ila kuna kabila moja sitaki kulitaja hapa ila matusi, dharau na kufokea hata wanaume ni Desturi yao, yani hawana heshima kabisa, kuna mmoja alikuwa bosi wangu mpaka mumewe alikuwa anamfokea, hayo makabila nafikiri yako matatu hivi si jui wenzangu mnayajuaaaaa maaana ni mcharuko kwa kwenda mbele:help:

hapo kwenye bold; ii hapa JF where we DARE talk openly inakulinda ! Weye taja tu hata 10 mie silifahamu hata moja!:help:
 
kitaalamu hii tunaita POINT OF NO RETURN!
mwanamke akianza kutoka nje ndo basi tena!...atawapa mahawara hadi TIGO!

Hahaha hapo utakua umelifungulia libenekee
 
Siyo kusemekana, ni kweli: Mwanamke yeyote yule ambaye yupo kwenye mahusiano na "hafikishwi kileleni" huwa ana tendency ya kujisikia upungufu - depression fulani (assuming kuwa alishawahi kufikishwa before). Kwahiyo mara nyingi hiyo hali umfanya ajisikie "kisirani" (sio hasira as such) kwa kuhisi kuwa either havutii tena or hawezi tena kufurahia "tendo"

Sasa anapowakasirikia na wanaume anaokutana nao makazini na kwengineko inakuje hapo:spy:
 
Sijapata hayo malalamiko kwakweli...!Ngoja nikafanze majaribio!!:love:
 
Back
Top Bottom