Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Hahahaaaaaa mi namjua alipo nikuonyeshe nilikutunzia asiibiwe bana

Sasa Maty kunifanyia hivyo mwenzio ndo nini?? Unajua vile navyomtafuta halafu huniambii si vizuri bana nionyeshe basi maana sina raha bila yeye si unajua tena
 
Sasa Maty kunifanyia hivyo mwenzio ndo nini?? Unajua vile navyomtafuta halafu huniambii si vizuri bana nionyeshe basi maana sina raha bila yeye si unajua tena

Hahahaaaaaa dena mamy ushaamka lol mzima lakini? sijamuona mwaya nilikua nakutania hv ni kweli hata we hujui alipo maana kapotea sana huyu au mabomu yamemchakachua nini?
 
Hahahaaaaaa dena mamy ushaamka lol mzima lakini? sijamuona mwaya nilikua nakutania hv ni kweli hata we hujui alipo maana kapotea sana huyu au mabomu yamemchakachua nini?

Yaani na wasiwasi na hilo la mabomu maana ana shamba kule naogopa mwenzio maana mawasiliano yote not reachable
 
umeona eeeeeeee WOS ndio nini kututafutia matatizo na wakoloni asubuhi asubuhi mwe mbavu zangu

Tena matatizo maana nimecheka kwa nguvu kweli mpaka mkoloni katoka ofisini kauliza kulikoni sina jibu
 
Aisee yaani hii sredi ndiyo mmeichakachua namna hii?

Ngoja nitafute listi ya wachakachuzi afu nijue cha kufanya

Khaa!:rain::rain:
 
Yaani na wasiwasi na hilo la mabomu maana ana shamba kule naogopa mwenzio maana mawasiliano yote not reachable

Uwiiiiiiiiiiiii usifanye nianze kuangusha kilio omwana wa mae yo
 
Aisee yaani hii sredi ndiyo mmeichakachua namna hii?

Ngoja nitafute listi ya wachakachuzi afu nijue cha kufanya

Khaa!:rain::rain:

Ndio mtindo wa kisasa Babu ujumbe ushafika sasa ni salamu tu ndo zimebaki ha ha ha ha

Shikamooo Babu
 
Well said Mwanamke Wa Sabustance!

Well Said Kamanda!

Well said Mosquito!

wasilisha mama...wasilisha mapointi haya!

Nimekusamehe kwa kuwa hulijui ulitendalo...kosa lilikuwa langu kukuacha ukalelewa kwa wajomba!

...mnh, leo uandishi wako umekuwa wa ukali mno. Is everything ok mydear?
Mheshimiwa mbu, si kosa lake....nlimwachia mjombake amlee...watoto wanaolelewa na wajomba huwa hawana nidhamu kwa babu zao.

Hahaha Mbu this is called Missing syndrome........umenigaya eh?

Hapana jana nadhani keroro ilizidi mukichwa nikajisikia kumkoromea babu loh..............I hope hatanipa adhabu.
:A S 13::A S 13::A S 13:

Kumbe bado tunaendelea hapa , na asiyekuwa na dhambi na awe wa kwanza kumponda mama huyo jiwe
Amina
Hakika umenena vema mtumishi wa Mungu

Nyie wote hapo juu ahsante kwa michango yenu mizuri na kwa kutotoka nje ya mada kama hivi vimjamaa vilivyoigeuza hii sredi chat room yao
 
Babu jana ukasingizia kichwa kinauma baada ya faili lako kufika kwa Pope
 
salama hapa?hitimisho la sred ni inawezekana kuvumilia au haiwezekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…