Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Love is the answer, but while you are waiting for the answer, sex raises some pretty good questions.
 
 
bora useme Dena watu waongo sana humu sasa izi story tunazosikia kila siku hawa wanaume wanacheat na nani embuw watu waache uongo


 
wajameni kuna mtu amenionea WISELADY ''mapendo daima?''

namtafuta sana huyo mutu
 
aaaa tusiwe wanafik jamani.

Subira ngumu sana na hasa kama bado kijana. Ikiwa nipo above 50 maybe nitaweza lakini chini ya hapo nitadai talaka.

better that way than to cheat
 
Babu naweza kusema katika kizazi chetu hiki cha DOWANS a.k.a DO-ONCE suala la UVUMILIVU ni gumu sana both kwa wanaume na wanawake naweza kusema tu katika umri wenu nyie zilikuwepo CASES lakini sio katika kiwango kama cha sasa hivi, hali imekuwa mbaya sana ni jana tu nimeshuhudia mwanamke akimpigia simu mumewe kuwa yupo nyumbani ili hali anaenda hotelini kuchakachuliwa.
 

Aisee Dena unaruhusiwa kuongeza kinywaji kingine cha moto!
 
aaaa tusiwe wanafik jamani.

Subira ngumu sana na hasa kama bado kijana. Ikiwa nipo above 50 maybe nitaweza lakini chini ya hapo nitadai talaka.

better that way than to cheat

Wewe nawe usiwe unachelewa hivyo kuleta mapoint kama haya bana nimekugongea na hii hapa chini

The Following User Says Thank You to Gaijin For This Useful Post:
Dena Amsi (Today)
 
Hahaha...Maty bana.

Kwa hiyo kama ulimpenda kiukwelikweli hutaenda kutii kiu yako na huo umri wako wa miaka 25?

Babu mume wangu ninampenda kwa dhati hata bailojia inahamasika kweli? hiyo inakua ni tabia yako tu chafu hata kama mumeo akiwa mzima utatoka tu kwani wangapi tunawaona wana waume wanaotii kiu zako katika kila idara lakini wanatoka nje balaa hiyo ni tabia ya mtu. Unatakiwa mdada toka ukiwa msichana ujitune kutoachia hazina yako hovyo ukiweza hilo hata ukiolewa mume ndio hivyo tena hautotetereka kamwe.
 
CPU bana haya ngoja niku PM namba yangu naona umefuta ile PM niliyokutumia siku ile

Babu ndo aliifuta, eti namtongoza mjukuu wake. Kabomoa nyumba yangu kaingia mpaka chumbani kunifumania, kumbe mwenzake nipo . . . .
 
Turudi kwa udhaifu wa kibinadamu uliopo, matunzo aliyopewa baada ya mume kupata tatizo. Inapofikia tamaa ya kimwili imemshika angefanya nini zaidi ya kusaidiwa na ambaye amekuwa anampa msaada kwa wakati huu mgumu. Kwa hapa ni wachache wanaweza kukwepa.
 
bora useme Dena watu waongo sana humu sasa izi story tunazosikia kila siku hawa wanaume wanacheat na nani embuw watu waache uongo

Aisee Chauro unatumia kinywaji gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…