Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
68,223
Reaction score
96,083
Habari zenu binafsi kwa ujumla wenu;

Jana wakati napata kifunga kinywa pale kingstaa kaunta ya juu wakaja wadada wawili wanapiga stori ya mwenzao waliyetoka kumwombea azidi kulala pahala pema peponi baada ya kumaliza mwaka mmoja akiwa chini ya dongo takriban tani saba. Walikuwa wanasikitika uamuzi wa rafiki yao huyo kujiua. Kwa unasaji wangu wa habari (siyo umbea) nikalazimika kuwajoin ili waninusishe yaliyojiri.

Ni hivi:

Kulikuwa jamaa marafiki wawili bwana X na bwana Y ambao walikuwa wameoa na bahati nzuri wake zao nao pia wakatokea kuwa marafiki wazuri. Katika pilikapilika za maisha siku moja bwana X akapata ajali iliyomgharimu kutenguka kiuno na kuparalaiz kuanzia kiunoni mpaka miguuni. Maisha ya Bwana X yakahamia kitandani rasmi, na baioloji yake ikawa haina mawasiliano na jinsia ya kike.

Bwana Y kwa upendo akawa anaisaidia familia ya Bwana X kwa hali na mali (kipato cha mke wa bwana X hakikutosha kuhimili mikiki ya maisha katika hali hii ya serikali ya awamu ya nne)

Mwaka ukakatika, mke wa X akaingiwa na shetani sehemu zake za siri. Akajikuta analazimika kujipitisha na kumimina mabode langueji ya malavidavi kwa bwana Y. Bwana Y uzalendo ukamshinda akalazimika kuliamsha pepo la ngono lililolala kwenye baioloji yake. Shughuli ikaanza wakanogewa na dhambi. Wakajivinjari bila ya mgonjwa X wala mke wa Y kujua mpaka Malaika wa Mungu alipoamua kuweka mambo hadharani.

Siku moja wamepiga ulabu, bwana Y akamsindikiza mke wa X mpaka nyumbani kwa Bwana X. Pepo likawaingia wakaanza kujivinjari sebuleni. Makelele ya malavidavi, Bwana X akastuka usingizini, sijui alipata wapi nguvu akajiangusha kitandani, akajiburuza mpaka sebuleni akashuhudia rafiki yake akimla uroda mkewe….. Akaachia yowe kwa mstuko, na Ziraili mtoa roho akaichukua roho yake kupitia njia ya mstuko wa Moyo…

Haikupita muda mke wa Bwana X nadhiri ikawa ikamsuta…. akaona isiwe tabu…… kwa hiyari yake tena bila ya kushauriwa wala kulazimishwa na mtu, akamwalika ziraili aje kuchukua roho yake kupitia mtaa wa sumu……. Naye akatangulia kuzimu. Yaliyojiri kwa bwana Y ni kuwa ndoa yake imekuwa historia. Na Bwana Y amekuwa kama kreze akiamini ameua watu wawili at a go! (Nadhani baioloji yake itakuwa imepata hitilafu flani)

Sasa ndugu zangu, (kina mama safari hii hebu kuweni wakweli japo kiduchu):

1.Hiki kiapo kwamba “nitakuwa mwaminifu mpaka kifo kitutenganishe” kinatekelezeka? Is it practical kwa wanawake? (Kwa wanaume sitii neno hapo, kwa sababu liko wazi kabisa)

2.Eti mwaweza kwenda kuliwa uroda ilhali mumeo unayempenda sana mpaka ukaamua kuhamia kwake yu kitandani hoi? Nadhiri haziwasuti? (Ningekuwa Mungu mngenitambua hakyanani)

3.Je mwaweza kuvumilia muda gani wakati mnajua kabisa huyu unayelala naye kitanda kimoja baioloji yake ishakuwa si rizki? Mwaweza kuvumilia mpaka ziraili mtoa roho afanye kazi yake? (Hapa mnaweza kuniambia kwa PM manake najua wengine mwaogopa kusema hadharani)

Babu ako konfyuzdi na ameanza kuogopa kutenguka kiuno….Bibi bado anadai wasije wakanichakachulia kwenye hili banda nililojenga kwa pesa za mkopo;

Angalizo: Hii mada ni serious na atakayeenda Ofu Topic….nambwenga makwenzi afu anakula BAN!
 
Bwana X
Bwana Y

Babu unaniruhusu nifanye magazijuto?????
 
Mpaka kifo kitakapowatenganisha.........
Naomba definisheni ya kifo.......halafu ntachangia (japo sijaalikwa kuchangia).....
 
Kifo ni pale ambapo pumzi inagoma kutoka na kuingia
Moyo unagoma kufanya kazi
Baioloji inasizi kuibuka
Watu wanaweka matuirubai
Watu wanakula ubwabwa
Walevi wanachimba shimo la kukufukia
Kina mama wanaachia vilio, japo vingine vya kizushi
Na kazalika na kazalika
 
Habari zenu binafsi kwa ujumla wenu;

Jana wakati napata kifunga kinywa pale kingstaa kaunta ya juu wakaja wadada wawili wanapiga stori ya mwenzao waliyetoka kumwombea azidi kulala pahala pema peponi baada ya kumaliza mwaka mmoja akiwa chini ya dongo takriban tani saba. Walikuwa wanasikitika uamuzi wa rafiki yao huyo kujiua. Kwa unasaji wangu wa habari (siyo umbea) nikalazimika kuwajoin ili waninusishe yaliyojiri.

Ni hivi:

Kulikuwa jamaa marafiki wawili bwana X na bwana Y ambao walikuwa wameoa na bahati nzuri wake zao nao pia wakatokea kuwa marafiki wazuri. Katika pilikapilika za maisha siku moja bwana X akapata ajali iliyomgharimu kutenguka kiuno na kuparalaiz kuanzia kiunoni mpaka miguuni. Maisha ya Bwana X yakahamia kitandani rasmi, na baioloji yake ikawa haina mawasiliano na jinsia ya kike.

Bwana Y kwa upendo akawa anaisaidia familia ya Bwana X kwa hali na mali (kipato cha mke wa bwana X hakikutosha kuhimili mikiki ya maisha katika hali hii ya serikali ya awamu ya nne)

Mwaka ukakatika, mke wa X akaingiwa na shetani sehemu zake za siri. Akajikuta analazimika kujipitisha na kumimina mabode langueji ya malavidavi kwa bwana Y. Bwana Y uzalendo ukamshinda akalazimika kuliamsha pepo la ngono lililolala kwenye baioloji yake. Shughuli ikaanza wakanogewa na dhambi. Wakajivinjari bila ya mgonjwa X wala mke wa Y kujua mpaka Malaika wa Mungu alipoamua kuweka mambo hadharani.

Siku moja wamepiga ulabu, bwana Y akamsindikiza mke wa X mpaka nyumbani kwa Bwana X. Pepo likawaingia wakaanza kujivinjari sebuleni. Makelele ya malavidavi, Bwana X akastuka usingizini, sijui alipata wapi nguvu akajiangusha kitandani, akajiburuza mpaka sebuleni akashuhudia rafiki yake akimla uroda mkewe….. Akaachia yowe kwa mstuko, na Ziraili mtoa roho akaichukua roho yake kupitia njia ya mstuko wa Moyo…

Haikupita muda mke wa Bwana X nadhiri ikawa ikamsuta…. akaona isiwe tabu…… kwa hiyari yake tena bila ya kushauriwa wala kulazimishwa na mtu, akamwalika ziraili aje kuchukua roho yake kupitia mtaa wa sumu……. Naye akatangulia kuzimu. Yaliyojiri kwa bwana Y ni kuwa ndoa yake imekuwa historia. Na Bwana Y amekuwa kama kreze akiamini ameua watu wawili at a go! (Nadhani baioloji yake itakuwa imepata hitilafu flani)

Sasa ndugu zangu, (kina mama safari hii hebu kuweni wakweli japo kiduchu):

1.Hiki kiapo kwamba “nitakuwa mwaminifu mpaka kifo kitutenganishe” kinatekelezeka? Is it practical kwa wanawake? (Kwa wanaume sitii neno hapo, kwa sababu liko wazi kabisa)

2.Eti mwaweza kwenda kuliwa uroda ilhali mumeo unayempenda sana mpaka ukaamua kuhamia kwake yu kitandani hoi? Nadhiri haziwasuti? (Ningekuwa Mungu mngenitambua hakyanani)

3.Je mwaweza kuvumilia muda gani wakati mnajua kabisa huyu unayelala naye kitanda kimoja baioloji yake ishakuwa si rizki? Mwaweza kuvumilia mpaka ziraili mtoa roho afanye kazi yake? (Hapa mnaweza kuniambia kwa PM manake najua wengine mwaogopa kusema hadharani)

Babu ako konfyuzdi na ameanza kuogopa kutenguka kiuno….Bibi bado anadai wasije wakanichakachulia kwenye hili banda nililojenga kwa pesa za mkopo;

Angalizo: Hii mada ni serious na atakayeenda Ofu Topic….nambwenga makwenzi afu anakula BAN!

Hiyo red imenisikitisha sana tena sana mapenzi yakoje jamani hata uvumilivu hatuna??? Will be back
 
yanayotokea kwenu hata kwa wanawake yapo ila tu sie tuna staha nyie mmeamua kuhalalisha

1.Hiki kiapo kwamba "nitakuwa mwaminifu mpaka kifo kitutenganishe" kinatekelezeka? Is it practical kwa wanawake? (Kwa wanaume sitii neno hapo, kwa sababu liko wazi kabisa)
 
Mmmhhhh.
Bado sijakula hicho kiapo cha 'till death..' lakini sidhani kama kiko practical
As far as I have seen it happening ni asilimia ndogo sana ya ndoa hasa za kisasa zinaishi kwa kauli hiyo
nyingi ni full usanii
 
habari zenu binafsi kwa ujumla wenu;

jana wakati napata kifunga kinywa pale kingstaa kaunta ya juu wakaja wadada wawili wanapiga stori ya mwenzao waliyetoka kumwombea azidi kulala pahala pema peponi baada ya kumaliza mwaka mmoja akiwa chini ya dongo takriban tani saba. Walikuwa wanasikitika uamuzi wa rafiki yao huyo kujiua. Kwa unasaji wangu wa habari (siyo umbea) nikalazimika kuwajoin ili waninusishe yaliyojiri.

ni hivi:

kulikuwa jamaa marafiki wawili bwana x na bwana y ambao walikuwa wameoa na bahati nzuri wake zao nao pia wakatokea kuwa marafiki wazuri. Katika pilikapilika za maisha siku moja bwana x akapata ajali iliyomgharimu kutenguka kiuno na kuparalaiz kuanzia kiunoni mpaka miguuni. Maisha ya bwana x yakahamia kitandani rasmi, na baioloji yake ikawa haina mawasiliano na jinsia ya kike.

bwana y kwa upendo akawa anaisaidia familia ya bwana x kwa hali na mali (kipato cha mke wa bwana x hakikutosha kuhimili mikiki ya maisha katika hali hii ya serikali ya awamu ya nne)

mwaka ukakatika, mke wa x akaingiwa na shetani sehemu zake za siri. Akajikuta analazimika kujipitisha na kumimina mabode langueji ya malavidavi kwa bwana y. Bwana y uzalendo ukamshinda akalazimika kuliamsha pepo la ngono lililolala kwenye baioloji yake. Shughuli ikaanza wakanogewa na dhambi. Wakajivinjari bila ya mgonjwa x wala mke wa y kujua mpaka malaika wa mungu alipoamua kuweka mambo hadharani.

siku moja wamepiga ulabu, bwana y akamsindikiza mke wa x mpaka nyumbani kwa bwana x. Pepo likawaingia wakaanza kujivinjari sebuleni. Makelele ya malavidavi, bwana x akastuka usingizini, sijui alipata wapi nguvu akajiangusha kitandani, akajiburuza mpaka sebuleni akashuhudia rafiki yake akimla uroda mkewe….. Akaachia yowe kwa mstuko, na ziraili mtoa roho akaichukua roho yake kupitia njia ya mstuko wa moyo…

haikupita muda mke wa bwana x nadhiri ikawa ikamsuta…. Akaona isiwe tabu…… kwa hiyari yake tena bila ya kushauriwa wala kulazimishwa na mtu, akamwalika ziraili aje kuchukua roho yake kupitia mtaa wa sumu……. Naye akatangulia kuzimu. Yaliyojiri kwa bwana y ni kuwa ndoa yake imekuwa historia. Na bwana y amekuwa kama kreze akiamini ameua watu wawili at a go! (nadhani baioloji yake itakuwa imepata hitilafu flani)

sasa ndugu zangu, (kina mama safari hii hebu kuweni wakweli japo kiduchu):

1.hiki kiapo kwamba "nitakuwa mwaminifu mpaka kifo kitutenganishe" kinatekelezeka? Is it practical kwa wanawake? (kwa wanaume sitii neno hapo, kwa sababu liko wazi kabisa)

2.eti mwaweza kwenda kuliwa uroda ilhali mumeo unayempenda sana mpaka ukaamua kuhamia kwake yu kitandani hoi? Nadhiri haziwasuti? (ningekuwa mungu mngenitambua hakyanani)

3.je mwaweza kuvumilia muda gani wakati mnajua kabisa huyu unayelala naye kitanda kimoja baioloji yake ishakuwa si rizki? Mwaweza kuvumilia mpaka ziraili mtoa roho afanye kazi yake? (hapa mnaweza kuniambia kwa pm manake najua wengine mwaogopa kusema hadharani)

babu ako konfyuzdi na ameanza kuogopa kutenguka kiuno….bibi bado anadai wasije wakanichakachulia kwenye hili banda nililojenga kwa pesa za mkopo;

angalizo: Hii mada ni serious na atakayeenda ofu topic….nambwenga makwenzi afu anakula ban!
wakinamama tafadhali tunaomba majibu ya hayo maswali
 
Mmmhhhh.
Bado sijakula hicho kiapo cha 'till death..' lakini sidhani kama kiko practical
As far as I have seen it happening ni asilimia ndogo sana ya ndoa hasa za kisasa zinaishi kwa kauli hiyo
nyingi ni full usanii

Mwanamke wa kwanza msema kweli!

Kabatani ka senksi kameenda wapi wajameni?

Anyway...kamatia kwa hapa THANKS!
 
duh!...

ngoja nisome upya

mara nyingi comments zangu zimekuwa very different na comments za majority

ngoja nisome upya...
 
Mi sijamwapia mtu ntakua nae mpaka kifo ila ndio namba moja inawezekana kama hamna matatizo makubwa yakufanya watu watengane!Namba mbili kwakweli ni ngumu kufanya kama aliyepo kitandani unampenda kweli!Na namba tatu inategemea pande zote mbili...kukosa mapenzi hakuui ila kama nyumbani mambo hayaendi bila vituko na malalamiko toka kwa mwanaume mtu anaweza akashindwa kuvumilia baada ya kipindi fulani!
 
ndio ukweli babu sema tu kina mama wanafanya mapema ili ukifika home ukute mambo safi na weekend hata ukiwafungia hawajali sana nyie mmehalalisha mpo hapo.

Mwanamke wa kwanza msema kweli!

Kabatani ka senksi kameenda wapi wajameni?

Anyway...kamatia kwa hapa THANKS!
 
Mi sijamwapia mtu ntakua nae mpaka kifo ila ndio namba moja inawezekana kama hamna matatizo makubwa yakufanya watu watengane!Namba mbili kwakweli ni ngumu kufanya kama aliyepo kitandani unampenda kweli!Na namba tatu inategemea pande zote mbili...kukosa mapenzi hakuui ila kama nyumbani mambo hayaendi bila vituko na malalamiko toka kwa mwanaume mtu anaweza akashindwa kuvumilia baada ya kipindi fulani!
Kwahiyo Lizzy unataka kuniambia wewe hiki kiapo "mpaka kifo kitutenganishe' hutakiapa kwa kuwa hutaweza kukisimamia?

ndio ukweli babu sema tu kina mama wanafanya mapema ili ukifika home ukute mambo safi na weekend hata ukiwafungia hawajali sana nyie mmehalalisha mpo hapo.
Hahahaha....Chaurooooooz!

Kumbe ukweli ni kuwa kina baba wanafanya hadharani na kina mama mnafanya kwa siri?

Kwa hiyo KUFANYA kuko palepale?
 
Kwahiyo Lizzy unataka kuniambia wewe hiki kiapo "mpaka kifo kitutenganishe' hutakiapa kwa kuwa hutaweza kukisimamia?
Nisipokiapa itakua kwa sababu nyingine sio hiyo! Kiapo ntakiweza kama mwenzangu ataniwezesha!Ndoa sio ya mmoja kwahiyo inabidi anisaidie mimi kumsaidia yeye!
 
Babu acha ubaguzi wa kijinsia hapa jamvini, story yako imewalenga mke wa mtu kachakachuliwa na mume wa mtu, wote walikula viapo hawa, so suala la kuvunja viaapo ni la mtu binafsi na si jinsia, na kusema mpaka kifo kikutenganishe kwa hali hiyoo kifo c mpaka ufukiwe , kama umepalalaizi haf body wewe ni mfu ulie hai, ila suala la ubinadamu ndio linahitajika hapa, huwezi kumuacha mkeo au mumeo kalakala wewe unakula uroda, da cjui imekaaje, na huyo bwana X asijifanye eti kategwa huyo kaumindi mzitgo longi time kitambo sema ndio vile...............
 
Kwahiyo Lizzy unataka kuniambia wewe hiki kiapo "mpaka kifo kitutenganishe' hutakiapa kwa kuwa hutaweza kukisimamia?

Hahahaha....Chaurooooooz!

Kumbe ukweli ni kuwa kina baba wanafanya hadharani na kina mama mnafanya kwa siri?

Kwa hiyo KUFANYA kuko palepale?

Babu hilo swali ulilouliza naona lina jibu hapo hapo

The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Back
Top Bottom