Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
- Thread starter
- #61
Hahahahaa....afadhali leo umeamua kusema ukweli...kwahiyo huwa mnatoka ila kwa siri, siyo?Tutatoka hata kama si kwa situation kama hiyo peke yake zipo nyingi mf. Maudhi, kunyimwa ile kitu inamesa mwenzake, jamaa kutokuwepo home hadi midnight nk
BTW: Sababu zipo nyingi za kukufanya utoke nje ukawa na mpango wa kando wa kiume
sasa ukiondoa yote hayo....mmeo hajakufanya ubaya wowote...kila utakacho unapewa...na ikulu unafikishwa kila utakapo...ila likatokea kama hili.....utamuacha mmeo kitandani anagumia kwa maumivu ukaenda kuitii kiu yako na njemba nyingine?