Eti jamani mapenzi ya zati au ubwege

Mapenzi tuu.....Ila hizo nguo ndo sio mahali pakr
 
iyo nusu nusu kama nyimbo ya joe makini yaani
Nusu ubwege Nusu mapenzi Nusu Bob marley
 
this is mbululism yaani yeye ni mbululest, maana yake wanadhani mapenzi yapo kwenye mambo madogo kama hayo!!
 
kwa upande mwingne ni sawa maana inategemea na kilo za limbwata alilo pewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…