Ashura9 JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 740 Reaction score 485 Mar 21, 2016 #1 Eti jaman mapenzi ya zati au ubwege
Doto Dotto JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 3,906 Reaction score 2,902 Mar 21, 2016 #2 Mapenzi tuu.....Ila hizo nguo ndo sio mahali pakr
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,666 Reaction score 12,178 Mar 21, 2016 #3 mbona kawaida hiyo
McFerson JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 2,166 Reaction score 2,322 Mar 21, 2016 #4 bwege la karne
GREGO JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,279 Reaction score 2,921 Mar 21, 2016 #5 Ulofa grade I
Malumbo wa ngullo JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 3,246 Reaction score 11,011 Mar 21, 2016 #6 iyo nusu nusu kama nyimbo ya joe makini yaani Nusu ubwege Nusu mapenzi Nusu Bob marley
Manyallaboy Senior Member Joined Jul 26, 2015 Posts 194 Reaction score 78 Mar 22, 2016 #7 this is mbululism yaani yeye ni mbululest, maana yake wanadhani mapenzi yapo kwenye mambo madogo kama hayo!!
this is mbululism yaani yeye ni mbululest, maana yake wanadhani mapenzi yapo kwenye mambo madogo kama hayo!!
Kimambo jr JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 207 Reaction score 67 Mar 23, 2016 #8 kwa upande mwingne ni sawa maana inategemea na kilo za limbwata alilo pewa!