Mwezi wa 6, nliweka uzi kwamba nlitembea na dem mwenye ukimwi tarehe 15-06-2016 nlipiga kavu mara3 mfululizo nkashtuliwa kesho yake kwama demu kaathirika fasta nkamfata nkamwambia twende tukachek kwel bwana akawa anao.
Kuna mwanangu akaniwahisha fasfa kwa docta akanipa PEP. Hizo dawa usiku nkanywa ila hapo ni siku 2 toka nipge yule demu. Nikanywa hizo dawa siku 30.
Mwezi wa 8 nimepima wadau NIPO NEGATIVE!
Sasa atakuwa hakunipa ngoma au dawa zimenisaidia au tarehe za UKIMWI kuuona bado?
Nisaidieni maana nilikuwa silali.
NGOJA NIWAWEKE WAZI
JINSI ILIVYOKUWA
MWEZ WA 4 NLIPATA DILI LA JKT
NKAAMBIWA NIENDE MKOANI SONGEA NDO KUNAINGILIKA KWA URAHISI NA KUNA MJESH 1 NDO ALINIAMBIA
NKAENDA NKAPIGA USAILI WA WILAYA NKAPIMWA HIV NKAWA POA NKAFAULU USAIL WA WILAYA TUKATANGAZIWA TARH 28-5 TURUD KWENY USAIL WA MKOA NKARUD ZNG DAR
TRH 28, NKAENDA ZNG SONGEA TENA KWAAJILI YA USAIL WA MKOA
ULUKUWA MGUMU SANAAA ILA NLIINGIA KWA ELIMU YA FORM 6 KDG KULIKUWA HAMNA WATU WENG KM ELIMU ZNGNE
hapa ndo nkaanzaa....
Nkafaulu tena tukapewa form za kujiunga na jkt
Nkawa na marafk hapo hapo kundini maana nlikuwa naela nkawa nalewa tuu daily baada ya kupata uakika wa jkt
Ndo tukawa tunaenda bar napiga mhudumu 1 maana tulikuwa tunaitana pot pot pot mhudumu alinizimikia balaaa
Nkapiga cku ya kwanza na ndom
Ya pili na ndom akawa ananiambia yeye anamtoto mdogo so nimzima ya tatu nkaluka kavuuuu
Kuna mhudumu nae akawa ananitaka akanichana kwamba yule ana ngoma ndo nkaona kwakuwa she wng twnd tukapime anao mwanangu nkaishiwa nguvu
Docta akanipa dawa fasta za PEP akaniambia mwez ukimaliza dawa pima km huna bas huna nkapima wa 7, nkawa sina
Nkapima wa 8, cna
NA LEO NIMEPIMA TENA NEGATIVE
washkaj zng kiukwel nimekoma nimekoma nimekoma
Pls tuwe makini ningepoteza nafas ya jesh na ndo kilichokuwa kinifanye usiku nsilale
Leo NTALALALAAAAA