Ibrahim daud
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 609
- 524
- Thread starter
- #21
uh sure bromkuu wanakutisha hakuna ugonjwa unaitwa ukimwi wewe kula vizuri fanya mazoezi acha ngono zembe utaishi miaka mingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uh sure bromkuu wanakutisha hakuna ugonjwa unaitwa ukimwi wewe kula vizuri fanya mazoezi acha ngono zembe utaishi miaka mingi
Hapana mkuu, unaweza jaribu uone...huwez hisi chchte km ujafanya!Mkuu umetoa somo vizuri, ila kuhusu chumvi mmmmmmh, nadhani bila kufanya tendo tu unaweza kuhisi jambo
Mwezi wa 6, nliweka uzi kwamba nlitembea na dem mwenye ukimwi tarehe 15-06-2016 nlipiga kavu mara3 mfululizo nkashtuliwa kesho yake kwama demu kaathirika fasta nkamfata nkamwambia twende tukachek kwel bwana akawa anao.
Kuna mwanangu akaniwahisha fasfa kwa docta akanipa PEP. Hizo dawa usiku nkanywa ila hapo ni siku 2 toka nipge yule demu. Nikanywa hizo dawa siku 30.
Mwezi wa 8 nimepima wadau NIPO NEGATIVE!
Sasa atakuwa hakunipa ngoma au dawa zimenisaidia au tarehe za UKIMWI kuuona bado?
Nisaidieni maana nilikuwa silali.
kwel mkuu hakuna ugonjwa unaitwa ukimwi hata siku moja wewe ishi vizuri tuu acha kua na mawazo tuuuh sure bro
nnao?!
!
Utakuwa nao kama na kama tu kulikuwa na muingiliano wa kidamu, vinginevyo huna. Nilisikia kuna baadhi ya dawa ukitumia virus hawaonekani japokuwa wanaweza kuwepo Mfano Asprin sio nzuri kama unataka kupima kwani 48 to 24 hour kabla ya kupima ukitumia huwezi kutwa positive
Asante brotherUko poa ondoa pressure
NGOJA NIWAWEKE WAZIMwezi wa 6, nliweka uzi kwamba nlitembea na dem mwenye ukimwi tarehe 15-06-2016 nlipiga kavu mara3 mfululizo nkashtuliwa kesho yake kwama demu kaathirika fasta nkamfata nkamwambia twende tukachek kwel bwana akawa anao.
Kuna mwanangu akaniwahisha fasfa kwa docta akanipa PEP. Hizo dawa usiku nkanywa ila hapo ni siku 2 toka nipge yule demu. Nikanywa hizo dawa siku 30.
Mwezi wa 8 nimepima wadau NIPO NEGATIVE!
Sasa atakuwa hakunipa ngoma au dawa zimenisaidia au tarehe za UKIMWI kuuona bado?
Nisaidieni maana nilikuwa silali.
Unao, haujatokeza tu!Mwezi wa 6, nliweka uzi kwamba nlitembea na dem mwenye ukimwi tarehe 15-06-2016 nlipiga kavu mara3 mfululizo nkashtuliwa kesho yake kwama demu kaathirika fasta nkamfata nkamwambia twende tukachek kwel bwana akawa anao.
Kuna mwanangu akaniwahisha fasfa kwa docta akanipa PEP. Hizo dawa usiku nkanywa ila hapo ni siku 2 toka nipge yule demu. Nikanywa hizo dawa siku 30.
Mwezi wa 8 nimepima wadau NIPO NEGATIVE!
Sasa atakuwa hakunipa ngoma au dawa zimenisaidia au tarehe za UKIMWI kuuona bado?
Nisaidieni maana nilikuwa silali.
[emoji15] [emoji15]Wewe inaonekana haukumsugua vizuri huyo binti
Huna mkuu,..soma maelezo niliyotoa kulingana na post akoNimetoka kupima sasa hivi nurse kasema npo negative
Na yule demu nlipga tarehe 15-06-2016
Leo tarehe 03-09-2016
Wataalam jaman kwa iyo time km nnao hutakuwa hujaonekana kwel
Wataaalam jAMani eheeee ebu niweken waz
Asante mkuu,...Mkuu umetoa somo vizuri, ila kuhusu chumvi mmmmmmh, nadhani bila kufanya tendo tu unaweza kuhisi jambo
Yaani hapa wamekutana,vipofu wanapeana ushauri njia gani ya kupita.Basi hapo ukitaka kugombana nao uwashike mkono kuwaongoza njia,wabishi kwelikweli...he he heeeNaona unamchokoza Dr. Deception.