Eti jamani nitakuwa nimepona UKIMWI?!

Asante sana Dr.
 
Mrudie upige kavu tena ndio uje utupe ushuhuda, gooooood
 

mkuu tayari unao, maana ndo faida za uzinzi. lkn siyo mwisho wa maisha
 
Risky ya kuambukizwa hupungua sana WaPo
i) umetahiriwa
ii) Huna vidonda / UTI
iii) Iwapo mwenzako anatumia dawa. Inavyoonekana huyo demu wako yupo kwenye dose ndio maana wanamjua kua ANAO, huenda baadhi yao hukutana nao clinic.
2. Utafiti unaonyesha kuwa asilimia 95 ya wanaoambukizwa HIV , kwa kutumia vipimo vya kisasa huweza kugundua uwepo wa maambukizi wiki nne hadi sita toka siku ya kuambukizwa. Ni asilimia tano tu ya watu ndio wanaotengeneza antibodies within 3 months.
Hivyo kwa upande wako Vila shaka yoyote utakuwa umenusurika this tym. So be extra, extra careful next tym.
 
Asante sana mkuu
 
kwanini hukuuliza hapo hapo kwa majibu sahihi...ngoja doctor wako aje hapa akujibie nadhani yuko JF
 
Update sahivi kwa kutumia kipimo cha hiv rapid test "SD bioline" kutoka ulipokua exposed na mtu ambae anahiv mwezi mmoja kama ukipima inaonyesha majibu Ila bioline endapo itaonyesha positive kabla hujapewa majibu kuna kifaa kingne kinaitwa UNIGOLD icho ndio kitaconfirm kama kweli ni positive au laah
 
Huyu dogo kulingana Majibu ya Dactari na maelezo yake nilivyomcheki HANA yaan ni (-)But kuwa makini sana Dogo sikunyingine usirudie wengi sana wanakujaga na mawenge kwenye vituo vyetu vya Afya tunawaonya ila hamsikii so usipende sana Ku RAHISISHA maisha na usirudie tena na ukamshukuru Mungu kwa kukuepusha na hilo Janga na Usome kwa bidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…