Eti jamani urembo wa mwanamke unachangia kunogesha tendo?

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Wadau eeh! Its time.

Najaribu kuvuta taswira ya wanawake warembo na wazuri. Huwa najiuliza hivi uzuri/urembo wao unaweza kuchangia kunogesha tendo.

Mimi kwa akili yangu najuaga mwanamke akiwa mzuri/mrembo kwenye tendo ndio atanoga tofauti na wale wenye urembo wa kawaida.

Wale wenye urembo wa kawaida huwa nadhani watakuwa wananoga kidogo tu kwenye jamvi.


 
Wanawake wote ni sawa hata akiwa fimbo ,kitu muhimu ni macho na ubongo, unamuwazia Nini huyo mwanamke ,
Atakuwa mzuri tu.

Ila sisi wanaume tuna dhambi sana unaweza ukaasehemu ukamvua mwanamke nguo kwa macho tu na ukaanza kuhisi unatafuna papuchi .
 
Aya sasa
 
Nyonyo fenesi wa nini?chuchu ndimu, tako 6".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…