Eti jamani urembo wa mwanamke unachangia kunogesha tendo?

Wadau eeh! Its time.

Najaribu kuvuta taswira ya wanawake warembo na wazuri. Huwa najiuliza hivi uzuri/urembo wao unaweza kuchangia kunogesha tendo.

Kiwastani wanawake warembo hawana ladha na si wazuri kitandani, wako very useless.
 
Mimi sura tu nzuri sana huwa inatosha kunogesha zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…