Eti jana uwanja ulitapika?

Siyo shida ya macho tu uliyonayo hata ya uandishi pia "malengo" inaingiaje hapo?
Yamekasirika mpaka Yamechanganyikiwa hayajui yaandike nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa malengo si ndio hayo simba tulitaka kufikia sasa yeye kayaona malengo hahahahahaah

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.

Wengine mlionaje?
Uwanja ulishiba sio kutapika tu
 
Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.

Wengine mlionaje?
Na hayo malengo simba ndio tulitaka kuyafikia[emoji23]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Lowasa alikuwa sahihi sana juu ya kipaumbele cha elimu
Yamekasirika mpaka Yamechanganyikiwa hayajui yaandike nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa malengo si ndio hayo simba tulitaka kufikia sasa yeye kayaona malengo hahahahahaah

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Hizo picha ni dalili ya kiwango cha akili uliyonayo
 
Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.

Wengine mlionaje?
Wivu na chuki vitakuueni watu ninyi!!! Yaani mada kama hii itakusaidia nini? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.

Wengine mlionaje?
Haujatapika tu,pia uliharisha

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.

Wengine mlionaje?
Mateso ya kimaisha ya kujitakia.

Utapata kisukari na presha bila sababu.

Binti mdogo hivi una husda kiasi hiki, ukiwa mtu mzima si Ni mwanga kabisa.

Kisa tu uwanja.

Walikuwepo watu elfu 30 uwanjani. Nafikiri moyo wako umekua na amani
 
Wanaamisha amisha magoli tu,mara VAR ya mchongo,mara timu haina team work,mara mkienda South mtakoma,mara amkujaza uwanja,,basi ilimradi wanatapatapa tu.
 
Nilikuwepo......60K haikufika ila 56-58K hivi.
Maana ni green seats za nyuma ya goli la kusini pekee na chache pembeni ya screen kubwa.

NB: Video nimechukua mwenyewe kwa kimeo changu, na hivyo ndio mambo yalikuwa.
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.

Wengine mlionaje?
Uliona MALENGO ya kitu gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…