avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
🇹🇿Watanzania huwa hatujui matumizi sahihi ya rasilimali washabiki katika uwanja
🇹🇿Watu wengi kama wale lakini ni unorganised noises za mavuvuzela
🇹🇿 Kila kakundi kametoka kwenye tawi lake na vinyimbo vyake na staili zake za kucheza ambazo sio staili za halaiki na hivyo kumezwa
🇹🇿 Hatujaweza kuwatumia vyema mashabiki jama nchi za ulaya au afrika magjaribi
🇹🇿inatakiwa kabla ya mechi ifanyike rehearsal ya ushangiliaji wa pamoja