Nilikuwepo......60K haikufika ila 56-58K hivi.
Maana ni green seats za nyuma ya goli la kusini pekee na chache pembeni ya screen kubwa.
NB: Video nimechukua mwenyewe kwa kimeo changu, na hivyo ndio mambo yalikuwa.
View attachment 2192236
Wapo sahihi kusema ni full house kama unavyoweza kuona mwenyewe....Afadhali umenijibu. Wengine waligeuka wakali sana. Mara ooooh wivu. Nchi ngumu sana hii
Ni ngumu......japo muhimu.🇹🇿Watanzania huwa hatujui matumizi sahihi ya rasilimali washabiki katika uwanja
🇹🇿Watu wengi kama wale lakini ni unorganised noises za mavuvuzela
🇹🇿 Kila kakundi kametoka kwenye tawi lake na vinyimbo vyake na staili zake za kucheza ambazo sio staili za halaiki na hivyo kumezwa
🇹🇿 Hatujaweza kuwatumia vyema mashabiki jama nchi za ulaya au afrika magjaribi
🇹🇿inatakiwa kabla ya mechi ifanyike rehearsal ya ushangiliaji wa pamoja
kinachokusumbua na kuteseka nakuweweseka ni nini hasa?Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.
Wengine mlionaje?
Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida ya macho.
Wengine mlionaje?