Ndikusyaganya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 216
- 119
Natumaini ni wazima wana Jamvi? Hivi karibuni nilikua na ongea na jamaa yangu, ambaye kwa sasa ame amua kujiajiri, na hii kutokana na jamaa mwenyewe anasema Alikuwa na Wazo hilo tangu mwaka 2008, ambapo alimuhusisha rafiki yake wa karibu wa tangu na tangu na kukubaliana kuwa lilikua wazo zuri la kujiajiri, cha ajabu ni kwamba alie pesa wazo alikuja kupata mtaji na kufanikisha wazo hilo akiwa yeye mwenyewe , lakini kwa moyo safi alimkaribisha huyu jamaa angu kuwekeza, baada ya muda jamaa angu akawa na nia ya kutimiza ndoto zake na alianza process za kutekeleza wazo lake, kimya kimya bila kumjiza rafiki yake wa kitambo alie tumia wazo lake na sasa kuwa na jeuri , rafiki akaja kujua majungu yaka anza kuwa eti Rafiki ana muwekea vikwazo kwa Kukopi na Kupesti biashara yake? Je wana JF kwa stori hii ya ukweli Tupi Kukopi wazo ni makosa? Na kwa mitiiki huu nani alibiwa wazo la wenzake?