Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Yani kuna tanagazo baya la magodoro sijawahi kuona! sasa kile ndio kiswahili gani na cha wapi? hebu wajuzi mtusaidie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mrembo wa tangazo la
magodoro kama vile ana maringo fulani hivi. Alitaka kurembesha neno
'kingaacho' akajikuta
anatamka 'kingaricho' kwa kuzidisha maringo. Na walioandaa tangazo
hawakujishughulisha na editing wala nini, waliona poa tu!
BASATA wao wanajikita zaidi kwenye maadili na lugha chafu. Maadam hilo tangazo halijakiuka maadili mema na halina lugha ya kuudhi kwao ni ok tu! Ni hivyo tu Ralphryder.Kwani lile baraza la taifa la sanaa na lugha si huwa linapitia matangazo yote na filamu? kwa nini wasimwambia muandaaji aliedit!
Kwani lile baraza la taifa la sanaa na lugha si huwa linapitia matangazo yote na filamu? kwa nini wasimwambia muandaaji aliedit!