Kwamba eti kila Raia wa Tanzania anajua mbinu za soka yaani kimombo ni Tactilcs, Kila Raia anajua kupanga timu na formation gani timu icheze, nani aanze na nani asubiri benchi na kila Raia wa Tanzania anajua team selection yaani nani achaguliwe timu ya Taifa nani aachwe.
Eti hili litatughalimu sana, kujidai tunajua wakati hatujui ndiyo kinachotuponza na tunamchanganya Mwalimu wa timu na benchi zima la ufundi.
Eti kwa ujuaji wetu hata akija "Pep" Guardiola ni lazima tupigwe tu....ujuaji mwingi sana.
Mpo watanzania??
Tunafungwa fungwa sababu watanzania wote ni walimu wa Mpira....
nimemaliza, ndiyo nimewaletea huu ubuyu nimeusikia na umeniuma na ndiyo maana nimewaletea - eti acheni ujuaji - Mpira ni sayansi na si chandimu. .