Eti kinachotuponza watanzania kila Raia ni Kocha wa kandanda.

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Kwamba eti kila Raia wa Tanzania anajua mbinu za soka yaani kimombo ni Tactilcs, Kila Raia anajua kupanga timu na formation gani timu icheze, nani aanze na nani asubiri benchi na kila Raia wa Tanzania anajua team selection yaani nani achaguliwe timu ya Taifa nani aachwe.

Eti hili litatughalimu sana, kujidai tunajua wakati hatujui ndiyo kinachotuponza na tunamchanganya Mwalimu wa timu na benchi zima la ufundi.

Eti kwa ujuaji wetu hata akija "Pep" Guardiola ni lazima tupigwe tu....ujuaji mwingi sana.

Mpo watanzania??

Tunafungwa fungwa sababu watanzania wote ni walimu wa Mpira....

nimemaliza, ndiyo nimewaletea huu ubuyu nimeusikia na umeniuma na ndiyo maana nimewaletea - eti acheni ujuaji - Mpira ni sayansi na si chandimu. .
 
Tutashinda kama ccm inavyoshinda.... Tumeujua ushindi Wa ccm kupitia ccm stars
 
Hata mumtetee Amunike kiasi gani, lakini ukweli utabaki pale pale! Ana mapungufu yake ya kutosha tu. Na hata sasa anavuna alichokipanda yeye mwenyewe kwenye uteuzi wa wachezaji!

Tutamshukuru tu kwa kuingia kwenye historia ya kuisaidia timu yetu kufuzu Afcon baada ya miaka 39! ingawa hatuwezi kuwatoa watanzania kwa umoja wao, wachezaji, Uganda pia kwenye ile mechi ya mwisho na pia CAF kwa kuongeza idadi ya timu kutoka 16 mpaka 24!
 
Ni kweli.Tuna ujuaji mwingi na ubabaishaji mwingi.
 
Back
Top Bottom