IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
haya wenye ndoa,si mnasema ndoa tamu!
umeona eeeeh!...toka 2007 mpaka sasa ndio anamwambie utumbo kama huo,....hapo sasa ngoja tusubiri wana harakati wa ndoa waje......wapi mr.rocky njoo huku sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya wenye ndoa,si mnasema ndoa tamu!
halafu hilo jina limekaa kike
pole sweetlol
toka mwanzo hakuona hilo tatizo.......hiyo ni silaha ya kukuchanganya......isikutie hofu cause umesema wasichana wa nyuma hawakuwahi kukwambia hilo sasa wasiwasi wa nini
kumbe wewe ni he??? Daaah utanisamehe, mi huwa nadhani wewe ni she! Pole sana kwa misuko suko ya ndoa... Endelea kusubiri watakuja wataalam kukupa ushauri zaidi.
basi kama ni silaha hii ni balaa,....anyway life goes on
Igwe umechanganyikiwa kabisa na hizi ndoa za dot com[/QUOTE]
nafikiri zinahitaji moyo uliopondeka kuzi-handle,....ngoja nipate uzoefu ntaoa tu sister
Mi sioni kama itakuwa solution yeye kujipima. Tatizo lipo pale pale, mfanyie cancelling taratibu na uweze kumsoma nini kimsumbuacho.Average size ni inch tano
so wewe kusema madogo
jipime kwanza nchingapi?

Average size ni inch tano

so wewe kusema madogo

jipime kwanza nchingapi?

siku hizi watu wanajuana in advance. Lol.
Huenda hata yeye bado hajajuwa kama hii ID aliotumia ni ya kike,..........!Hahaha! Na imenizingua kweli kweli. Siku zote akiletaga sred nkichangia najua ni she.. Atanisamehe bure..
Leo amesahau notebook. amejichanganya kwenye kulog in,............lol!Ata mi nilikuwa najua ni she kumbe ni kidume lol...
sasa nashindwa hata nimshaurije maana usikute ni hadith za shigongo... kama ni kweli basi Mungu akutie nguvu tu, maana hilo ni kombora zito la maangamizi, itakuchukua muda kusahau hata ukimsamehe, hakuna lakufanya zaid ya kumuomba Mungu akusahaulishe ili mkirudiana usiwe na inferiority complex badala yake ujione kidume cha ukwee.. maana NDOA ni mke mmoja, mume mmoja till death do you apart. No discussion on that labda umfumanie tu hapo inaruhisiwa kumuacha.
Nnamiaka 34 nilioa 2007!nnawatoto wawili.mke wangu amekua tatizo tangu sikutumeoana,baada yakuoana nae week 3 tu nilianza kujuta mpaka tukakutafuta talaka.tumekua tukigombana mara nyingi mpaka anarudi kwao tunasuluhishwa tunarudi tena.mwez wa 6 alinitukana sana na maneno machafu mengi nikanyamaza,baadae nnlimuomba aende nyumban akasalimie alivyoondoka nakufika nilimwambia sitaki kumuona tena afundishwe kwanza maana ya mume then atafute mume mwingine aishi nae,.jana sasa aliniomba arudi nyumban nikamwambia nimevumilia vyakutosha mahusiano yetu yameshaisha kitambo hata kama tulifunga ndoa kanisani ila hii imenishinda. nilikua sio mnywa pombe mpaka nikaanza kunywa.baada ya kumtumia message akaniambia.AMEKUA AKINIVUMILIA SANA NA MAUMBILE YANGU MADOGO LKN NIMEMUONA HAFAI.SASA NAJIULIZA SABABU NDO ILIKUA HIYO NDO MAANA ALIKUA ANANIDHARAU?
naombeni ushauri nifanyaje juu ya hili coz mwanamke huyu sinahamu naye tena yaani namuona kama mwanaume mwenzangu sasa.Je haya maumbile yangu yanaweza niletea shida nikipata mwanamke mwingine sababu sijawihi toka nje ya ndoa yangu na wanawake wote wanyumba hawajawahi niambia hili?je nnaweza kuyakuza?
Average size ni inch tano
so wewe kusema madogo
jipime kwanza nchingapi?