Nafikiri inategemea na Aina ya engine mkuu.. ngoja wataalam wajeEngine ya gari yangu inanizingua kwa kunywa oil. Mafundi wanasema kubadili spare za kwenye engine ni kazi bure. Bora kufanya overhaul kabisa. Lakini mafundi wengine wananitahadharisha kuwa nikifanya overhaul ndiyo nitakuwa nimeiua engine na itanitesa zaidi. Wanashauri bora ninunue engine nyingine tu. Hili limekaaje wataalam?
Engine ya gari yangu inanizingua kwa kunywa oil. Mafundi wanasema kubadili spare za kwenye engine ni kazi bure. Bora kufanya overhaul kabisa. Lakini mafundi wengine wananitahadharisha kuwa nikifanya overhaul ndiyo nitakuwa nimeiua engine na itanitesa zaidi. Wanashauri bora ninunue engine nyingine tu. Hili limekaaje wataalam?
nunua mswaki tuu umalize kazi, tatizo la overhaul fundi kama hayupo vzr na spea zikawa sio genuine baada ya muda mfupi sana matatizo yanaanza kuibuka tenaEngine ya gari yangu inanizingua kwa kunywa oil. Mafundi wanasema kubadili spare za kwenye engine ni kazi bure. Bora kufanya overhaul kabisa.
Lakini mafundi wengine wananitahadharisha kuwa nikifanya overhaul ndiyo nitakuwa nimeiua engine na itanitesa zaidi.
Wanashauri bora ninunue engine nyingine tu. Hili limekaaje wataalam?
Kamilisha maelezo upate ushauri mzuri.Engine ya gari yangu inanizingua kwa kunywa oil. Mafundi wanasema kubadili spare za kwenye engine ni kazi bure. Bora kufanya overhaul kabisa.
Lakini mafundi wengine wananitahadharisha kuwa nikifanya overhaul ndiyo nitakuwa nimeiua engine na itanitesa zaidi.
Wanashauri bora ninunue engine nyingine tu. Hili limekaaje wataalam?
Gari ni Succeed, Engine ni 1NZ. Zidi kunishushia nondo boss wangu.Kamilisha maelezo upate ushauri mzuri.
-Gari gani?
-Engine aina gani?
Sio kweli kuwa ukifanya overhaul itapoteza ufanisi maana kufanya hivyo ndiko kutafuta huo ufanisi, bali ukiiacha bila kufanya hivyo ndio kupoteza ufanisi.
Angalia garama za matengenezo/ maintenance kisha linganisha na garama za kubadili engine/ replacement. Baada ya hapo jipime kisha fanya maamuzi.
Engine nzuri kwa overhaul ni Castic Iron kuliko Alluminnium Iron.
NB. Hakuna engine itakayorudi ktk upya kwa kufanya overhaul kwa 7bu kila ukiweka engine oil mpya/safi, ukitoa inakua chafu, jiulize kinacho ichafua huwa ni nini? Overhaul hupunguza tatizo la ulaji wa oil na sio kuondoa maana engine inakula oil tangu siku inatoka kiwandani. Soma spacefikation za engine yako kutoka ktk manu ya gari lako utagundua.
Gari ni Succeed, Engine ni 1NZ. Zidi kunishushia nondo boss wangu.
-Angalia gharama.Gari ni Succeed, Engine ni 1NZ. Zidi kunishushia nondo boss wangu.
Mkuu nisaidie. Unaposema mswaki sielewi kabisa. Naomba ufafanuzi, tafadhali.
Kwa ushauri wangu, tafuta injini nyingine, iwe 'mswaki' au injini kamili. Nilishawahi kuhangaika na overhaul ya 1ZZ, uwezo haukurudi kama ilivyokuwa awali. Gari nilikuja kuiuza miaka 4 baadae. Mara zote hizo, iligharimu sh 1mil. Kilichonifanya nikae nayo muda mrefu ilikuwa ni bei ghali ya injini nyingine. Ikiwa safi kabisa, ni hadi milioni 3. Ila 1NZ ni cheap.Gari ni Succeed, Engine ni 1NZ. Zidi kunishushia nondo boss wangu.
hizo ni code za matoleo ya engine kama tu ilivyo kwenye simu ukiona s20 ama A12naomba kujua hizi 1NZ, 2 NZ, 2SZ, ... Huwa ndio nini.
kirefu chake ni nini