Eti kufungua depoti ya Kuuza bia kwa Jumla inalipa?

Eti kufungua depoti ya Kuuza bia kwa Jumla inalipa?

Wizzo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
723
Reaction score
256
Naomba mnisaidie wanaJF, ajira zimekua ngumu nimeamua kujiajiri, je biashara hi inalipa? Je kila kreti Frida in sh ngapi. Nsaidieni Jamani kwa wajuao
 
Nahitaji sana kufanya hii business
 
Back
Top Bottom