carmel
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,836
- 265
ha ha haaaaaaaaaaa , binamu mtu yoyote anaweza kukoroma at one point in time. easy, easy!Hivi wanawake huwa hawakoromagi? Ish!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha haaaaaaaaaaa , binamu mtu yoyote anaweza kukoroma at one point in time. easy, easy!Hivi wanawake huwa hawakoromagi? Ish!
to tell you ni kwamba hamna kitu kinachochosha kwenye ndoa KAMA UNYUMBA!
mwanamke anaekoroma inabidi ukamhakikishe kama kweli si jike-dume! aaah mwanamke gani atakoroma!
we unasema hivo kwa kuwa hujaolewa, imean unaiba iba once in a while ndo maana unaona ni special, lakini if you are honest after two years in a marriage where you are together everyday, come here and say the same thing. Si kweli kamba usipolala nae unakuwa humpendi mwenzio, ila tu as a human being kuna muda you want to be yourself, you want space to relax na sio kuguswaguswa if youi know wora i mean.😉Kulala pamoja watu wawili wa jinsia tofauti ni raha jamani khaaa!!Hizi tafiti nazo zinataka kutibua tu.
ha ha haaaaaaaaaaa , binamu mtu yoyote anaweza kukoroma at one point in time. easy, easy!
Jamani tuweni wakweli. Na hatuwezi kuwa wakweli tusipojua sababu gani zinapelekea kukoroma, ukweli ni kwamba wanawake wanakoroma pengine ukilala vibaya (shingo) na sababu zingine nyingi tu wengine wanazitaja.mwanamke anaekoroma inabidi ukamhakikishe kama kweli si jike-dume! aaah mwanamke gani atakoroma!
Kweli shost mie sijawahi kuona mwanamke anakoroma.
mwanamke anaekoroma inabidi ukamhakikishe kama kweli si jike-dume! aaah mwanamke gani atakoroma!
Inaonekana ulikuwa hodari wa kuimba mapambio sana enzi hizo, du, afadhali nimepata kitu cha kunichekesha asubuhi lol>bwana mie nilisoma na mmoja yaani ni bora utangulie kupata usingizi wewe akianza yeye ,,inabidi uanze kuimba mapambio mpaka usingizi ukupitie hata kama ni saa tisa usiku
Kweli shost mie sijawahi kuona mwanamke anakoroma.
Kweli shost mie sijawahi kuona mwanamke anakoroma.
umeshawahi kulala na wanawake wangapi na ukahakikisha hilo shosti?
Nilisoma girls school wala sikuliona hilo, labda kama mnazungumzia wamama watu wazima.
Nilisoma girls school wala sikuliona hilo, labda kama mnazungumzia wamama watu wazima.
Inaonekana ulikuwa hodari wa kuimba mapambio sana enzi hizo, du, afadhali nimepata kitu cha kunichekesha asubuhi lol>