SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Eti kuna dawa yakumpata suggar daddy??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si hiyo dawa ndio inamvutia anakufuata au.?Shuga dady huwa atafutwi
Ninayo kabisa
Hii chupi kubwaAlie sema sipati shangazi hiki nini
View attachment 3044912
Basi unatatizo mie sio lishangazi nani kakudanganya kuwa mashuga dadi ya nataka vitoto havijui kuogaSugar dady anatafutwa na mabinti, sio wazee wenzie
Ipo nicheki PMEti kuna dawa yakumpata suggar daddy??
Mimi sijasema wewe ni shangaziBasi unatatizo mie sio lishangazi nani kakudanganya kuwa mashuga dadi ya nataka vitoto havijui kuoga
Unanfanyiaje hiyo dawa hadi unipate?Eti kuna dawa yakumpata suggar daddy??
Nipo uhitaji kutumia dawa.Eti kuna dawa yakumpata suggar daddy??