ni kweli 100℅
Hahahahaaa. Siyo miye atii! Ndiyo ukweli huo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Acha roho mbay wewe.
Sasa kama unakibamia unategemea nini?Pia sio waaminifu kwenye mahusiano. Wanapenda kuchepuka na wanatamaa sana hawaridhiki
kweli ni tabia ya mtu unaweza kuwa bonge ukawa na roho mbaya shetani kasingiziwa
We umewaona wapi besthahahhah hujaona nn yaan we ni chizi
We uliwaona wapi besthahahhah hujaona nn yaan we ni chizi
We si uliuliza swali au???!Comments hizi kama ww n mwembamba unaweza kufwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
khaaa ila si kweli roho mbaya haina mwembamba wala mnene inategemea na mtu na mtu