Eti kuna ka ukweli

Eti kuna ka ukweli

240f1a9fa4140e6e8a4f6d03809a9907.jpg
ni kweli 100℅
yani kesi nyingi za mapenzi ukichek tu mwanamke mwenyewe mwembamba
 
Wana roho mbaya!,..ila ni tabia ya MTU,mi nilikutana mabonge wengi ni wabinafsi,wakatili,wachoyo..ila c wote
kweli ni tabia ya mtu unaweza kuwa bonge ukawa na roho mbaya shetani kasingiziwa
 
Comments hizi kama ww n mwembamba unaweza kufwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

khaaa ila si kweli roho mbaya haina mwembamba wala mnene inategemea na mtu na mtu
 
Mi najua wanapenda sana kugegedwaaaa alfu wambeaaa
 
Comments hizi kama ww n mwembamba unaweza kufwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

khaaa ila si kweli roho mbaya haina mwembamba wala mnene inategemea na mtu na mtu
We si uliuliza swali au???!
Hayo ndo majibu bhana, hivi Shunie mie kwa mwili ule ni mwembamba au?????
 
We si uliuliza swali au???!
Hayo ndo majibu bhana, hivi Shunie mie kwa mwili ule ni mwembamba au?????
hahhahah kwahiyo mwenyewe pale unajiona mnene we ni mwembamba
 
Back
Top Bottom