Eti kuna uhaba wa U.S. dollar! Kwa hiyo….

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Ngebe nyiiiiingi, kumbe kisirisiri mnashoboka na Marekani pamoja na vitu vyake.

Sasa kama kuna uhaba wa $ nchini ndo nini sasa? Si na nyinyi mna sarafu yenu.

Wapumbavu wakubwa nyie. Kila mara kujifanya hambabaishwi na Marekani.

Marekani hivi, Marekani vile. Marekani maisha yake magumu. Tanzania maisha yake mazuri.

Blah blah blah blah blah.

Sasa mnalia lia eti $ imeadimika. Si mtumie hiyo mihela yenu tu. Watu mna mihela yenu hiyo mishilingi halafu mnashoboka na hela za watu wengine!

Mna akili kweli nyinyi? Acheni kubabaikia pesa za watu.

Use your own doggone currency you stupid mfers.

Stop whining. Suck it up buttercups.
 

Ww ni mgeni na hii serikali?
 
Watatumia za Urusi wanayemwabudu
 
Halafu unakuta mwandishi ni Msukuma ambaye kwao bado kuna watu hawana vyoo wanakunya ziwani.
 
Mtu asiyekiri nguvu ya Marekani ni mpumbavu tu.

Kuanzia Dollar mpaka maamuzi yake katika maswala mbalimbali kimataifa, Marekani inaweza kubadilisha uelekeo wa jambo lolote.

Utapayuka hadharani, ila makali utayapata kila mahali.
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Kwani ni huduma gani na bidhaa gani tunajitegemea wenyewe na kwa asilimia ngapi na ni zipi tunatoa nje? Kwani hatuwezi kuwalipa kwa fedha zetu wao wataenda kubadilisha huko??
 
"Stop whining suck it up buttercups" 🤣🤣
 
Kwani ni huduma gani na bidhaa gani tunajitegemea wenyewe na kwa asilimia ngapi na ni zipi tunatoa nje? Kwani hatuwezi kuwalipa kwa fedha zetu wao wataenda kubadilisha huko??
There you go…..

At least there’s a few people left out there who have a verisimilitude of common sense!
 
Kwa kweli kama ingelikuwa kujua kiinglish kuntu bi culture kama chako ...

kinakuongezea chochote mfukoni......

Nyani Ngabu ungelikuwa bakhressa!!!
 
Kwa kweli kama ingelikuwa kujua kiinglish kuntu bi culture kama chako ...

kinakuongezea chochote mfukoni......

Nyani Ngabu ungelikuwa bakhressa!!!
Wewe hata kuandika Kiswahili kilichonyooka tu ni mgogoro!

Sasa hapo ndo umeandika nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…