Eti kuna uhaba wa U.S. dollar! Kwa hiyo….

Eti kuna uhaba wa U.S. dollar! Kwa hiyo….

Ngebe nyiiiiingi, kumbe kisirisiri mnashoboka na Marekani pamoja na vitu vyake.

Sasa kama kuna uhaba wa $ nchini ndo nini sasa? Si na nyinyi mna sarafu yenu.

Wapumbavu wakubwa nyie. Kila mara kujifanya hambabaishwi na Marekani.

Marekani hivi, Marekani vile. Marekani maisha yake magumu. Tanzania maisha yake mazuri.

Blah blah blah blah blah.

Sasa mnalia lia eti $ imeadimika. Si mtumie hiyo mihela yenu tu. Watu mna mihela yenu hiyo mishilingi halafu mnashoboka na hela za watu wengine!

Mna akili kweli nyinyi? Acheni kubabaikia pesa za watu.

Use your own doggone currency you stupid mfers.

Stop whining. Suck it up buttercups.
Sasa kiongozi, inakuwaje umesahau kuwa "Miafrika Ndivyo Tulivyo" , "Zilongwa mbali zitendwa mbali."

Mtu asiyekiri nguvu ya Marekani ni mpumbavu tu.

Kuanzia Dollar mpaka maamuzi yake katika maswala mbalimbali kimataifa, Marekani inaweza kubadilisha uelekeo wa jambo lolote.

Utapayuka hadharani, ila makali utayapata kila mahali.
Screenshot_20230903-225301.png
 
halafu si watalii si tumeambiwa wamekuwa wengi sana kutokana na royotua na si wanaleta dollar? Sasa zimekwenda wapi?
Wewe ulimwamini yule mzanzibar mpumbavu mvaashungi
 
Hii nchi ina mambo yakipuuzi sana , ina maana serikali inatumia nguvu nyingi kutangaza dollar ya watu wengine, alafu inashindwa kutangaza shilingi yake , bado tunatawaliwa.
 
Hii nchi ina mambo yakipuuzi sana , ina maana serikali inatumia nguvu nyingi kutangaza dollar ya watu wengine, alafu inashindwa kutangaza shilingi yake , bado tunatawaliwa.
Go figure!!
 
Huu ni ukoloni mamboleo. Tutumie fedha yetu.
Tuwe wazalendo
 
Kwani ni huduma gani na bidhaa gani tunajitegemea wenyewe na kwa asilimia ngapi na ni zipi tunatoa nje? Kwani hatuwezi kuwalipa kwa fedha zetu wao wataenda kubadilisha huko??
Hawaitaki pesa yetu.
 
Shida ni akili ya kiuchumi. Wezesha watu wauze mazao yao nje, wanyama wao nje, biashara zao kuzitanua nchi za nje.

Fanya urahisi kupata leseni kuuza vitu nje. Passport zitolewa haraka kwa kila Mtanzania kwa bei rafiki. Ruhusu uraia pacha. Yapo mengi sana.

Vijana wataenda kufanya kazi nje na kuleta dollar bongo.

Elimu yetu kiingereza kifundishwe toka shule za msingi.
 
Hayo yanahusianaje na uhaba wa $?
 
Dollar haina maisha marefu sana... BRICS wanamuuzia kichwa sana mmarekani. Hata Yellen kasema.

Nguvu ya marekani ni dollar kuendelea kuwa reserve currency. Ila BRICS wanasuka mpango kabambe.
 
Nguvu ya himaya ni mpito tu hakuna anaedumu katika kiti cha ubabe milele. Wakati wa Marekani kumpa kijiti Mchina unawadia sababu kuna viashiria vingi vinavyo onesha hilo na hata Marekani anakiri hilo Ila anafanya mbinu za kuchelewesha yeye kuchikua nafasi ya pili.
Rais Nixon aliondoa hazina ya dhahabu kama dhamana ya dollar, sasa dola inachapishwa tu wanapo ona deni limewazidia. HIli pamoja na ukubwa wa deni la Marekani ni dalili za kuelemewa na muda muafaka ukifika itabidi Mchina achukue uongozi wa uchumi duniani.
Marekani au Mchina hatuhusu ila huo ndio mpangilio mpaka itakapo fika zamu yetu kutwaa taji.
Mungu ibariki Afrika
 
Walidanganyana eti watupe Dola wafanye biashara kwa madafu. Sasa Russia ana Rupee kibao hajua azipereke wapi. Hazina thamani. Sasa wahindi watanunua Dengu na Choroko kwa Rupia, mwaka mmoja tu mtazikimbia sijui mtazipeleka wapi.
Wahindi kariakoo wakifanya mauzo, mwisho wa siku wanatafuta Dollar za kununua, hawataki midafu hata kidogo. Nyie manajidanganya mantaka kufanya biashara kwa pesa zenu. Muhindi akupe rupia, na hivi hamzijui watawaletea za bandia ndio mkome.
mnajiunga BRICS sasa Dollar za nini?
 
Nchi inayoongozwa na akina ZERO ... aina ya lidudu lilioungana na madudu wenzie recently.... the vanguard of retards ... itaelekea kuzimu. Dead kiuchumi pia. £, $, € kwa retards ?
 
Ngebe nyiiiiingi, kumbe kisirisiri mnashoboka na Marekani pamoja na vitu vyake.

Sasa kama kuna uhaba wa $ nchini ndo nini sasa? Si na nyinyi mna sarafu yenu.

Wapumbavu wakubwa nyie. Kila mara kujifanya hambabaishwi na Marekani.

Marekani hivi, Marekani vile. Marekani maisha yake magumu. Tanzania maisha yake mazuri.

Blah blah blah blah blah.

Sasa mnalia lia eti $ imeadimika. Si mtumie hiyo mihela yenu tu. Watu mna mihela yenu hiyo mishilingi halafu mnashoboka na hela za watu wengine!

Mna akili kweli nyinyi? Acheni kubabaikia pesa za watu.

Use your own doggone currency you stupid mfers.

Stop whining. Suck it up buttercups.
Duh! Ukweli unauma!
$ zipo mkuu, mbona kina Tulia, Mama Mwamvua, yule DED wa Geita nk nk wanasafiri sana nje tu?
Royal tour was a success, mama kafunguwa MILANGO, madini yanauzwa kama message Dar, mvua inanyesha, Makonda karudi!
Aise dollar zipo, ila zatumika sana kwenye mambo yao tu...
 
Back
Top Bottom