watu wa beijing wameingia humu, kaazi kwelikweli
jamani, chnzo cha yote ni mumbile. hakuna mchawi mwingine. mwanmke kutembea na kioo kwenye mkoba au handbag iliyosheheni vipodozi, huwezi kusema kirahisi kuwa ni gender issue. kuna mambo huhusianishwa na gender kimakosa na wakati ni sex issues. mwanaume, anapitiliza matamanio hata kwa sauti ya wadudu tu, wakati wanamke hutaka vitu mshawisho. ni busara kusema mwanume humsaidia mwanamke kuchokoza na akishahisi jaribio la kuchokozwa basi yeye anachokoza kweli na kujishindia mapenzi. ndivyo mwenyezi Mungu alivyo-design, mwanadamu hawezi ugeuza. ni biologia.
mamabo ya mwanmke kuitwa malaya ni haki kwani purely cultural and subjective na si biological walla objective. kuna baadhi ya tafiti zimegundua kuwa mwanamke akiitwa malaya inamuongezea pride kwake mwenyewe na kwa wanaume kwa kiwango fulani