Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
Nikiwa nimekaa nikifikiria jinsi gani life nitaliwin, ghafla vitoto viwili vikawa vinaongea...mdogo kamwuliza mkubwa, eti kwa nini miguu hunuka? mkubwa kasema nani kakuuliza, mdogo kasema ni yule kaka ake na fulani....mdogo nambie basi nimjibuje? Mkubwa kaskuti mwishowe akaona hii karaha nisipojibu...KAMWAMBIE KWA SABABU INATOKA MKUND*NI...mie mbavu sina......wewe ungejibuje?