Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Khaaa, nikajua utafurahia nikichakachua coz ww ndio bingwa wetu tunafuata nyao babu!Oyaaaaaaaaa hapa tunadiskasheni mate na mkojo!
Hahahaha.........kinyume chake kwenye huu myuziful sredi sijagongewa ka-Like hata kamoja........khaaa!
Khaaaaa,ww mzee hii kali,kwanza hata km ni risechi ya hii kitu lzm ifanywe kwa obusaveshen mesod ili kupata data za ukweli,
Sasa ww hii kazi umeifanyia sayari gani na hao wanawake ni wa aina gani
Na ulitumia njia gani mpaka kuweza kuwachungulia na kusikia sauti ya huo ushuzi
Coz mie hilo halijawahi kunitokea wala sijawahi kusikia
Na nimeenda kukojoa sasa hiv ili kuona km itatokea haijatokea
Haki ya nani ww BABU sred yako imenichanganya naomba majibu tafadhali.
Kheeeee! Jamani si nimeuliza tu wajameni? Mbona kina mama memekuwa wakare namuna hii? Nimeuriza hivi ni razima muachie kaushudhi? Thijathema LAZIMA lol!
shida iko wapi? kama hujakutana na kitu kama hicho basi mwenzenu sample alizokusanya zimempa hayo majibu. huna haki ya kukataa kama hujui njia alizotumia
Hivi RR nikisema wanawake wengi si waaminifu katika mahusiano yao, kuna hata mmoja hapa JF atakayekiri? Wote watapinga....... hakuna watu wasiokubali kuukiri hali halisi hasa inayoelekea kwenye upande hasi kama wanawake....hili naweza kuapa.Aspirin, nimepata shaka kidogo... Hivi utafitu huu liufanya kwa muda gani na kwa sample gani? Mi sioni shida kabisa kama mtu atafanya hivo hasa mtu mwenyewe akiwa chooni ila kwa kweli siwezi kusema kua it is a routinewakienda haja ndogo lazima hii itatokea... Nitaanza kuchunguza alafu nitakupa pasenteji.
However, however, however..... Nina wasiwasi research yako nzima sio kweli. Mbona hapajaonekana mwanamke hata mmoja mwenye kuthibitisha haya??? I dare you to bring us 5 of them washuhudie hapa!
Umri ushaenda mkuu, tushalamba magunia kazaa ya chumvi (ya kupikia, siyo ile nyingine)Huyo ndo babu Asipirini..., Vp mwenzetu uzee ushaanza kula nyayo nini.. teh teh..
Sema weye dume mwenzangu, nikisema mimi wanasema babu mzushi, nshazeeka!Babu
Wanaume wanapokojoa mkojo; wa asubuhi ndio lazima wajambe kidogo
Wanawake wao kila wanapokojoa lazima wajambe kiduchu.............ni matokeo ya vyombo kujiachia!
Hahahaha, tena ijumaa yenyewe iwe inaelekea kwenye sikukuu ya kula pilau..........hehehe kama hauna kalenda nyumbani wewe angalia sredi za fellow tablet tu lazima utajua lini ni ijumaa.
Baeleze mkuu, baambie hao!shida iko wapi? kama hujakutana na kitu kama hicho basi mwenzenu sample alizokusanya zimempa hayo majibu. huna haki ya kukataa kama hujui njia alizotumia
Afu wewe! mwone kwanza.....uwe na heshima kwa bibi yako........ FYI mkubwa hajambi!Huwa unamchungulia mama nonino akikojoa? Kama c umbea nini? Mwone kwanza
Watu wabishi kama wewe ndo wepesi wa kuachia viushuzi.........😛hoto:Hakutuambia njia aliyotumia wala hakutoa data ndio maana ni haki ya kukataa na ukizingatia mie km mwanamke haijawahi kunitokea napinga kwa nguvu zote,endelea kusoma comment wanawake wengi wanapinga inawezekana co lzm na co kweli!
age mate... kutema mate inategemea, sometimes unakua kwenye mazingira magumu, ila niko na shemejoyo hapa wichita, ananiambia si lazima kujamba wakati wa haja ndogo, inategemea mazingira, wakati na tabia... kwani mkeo huwa anajamba wakati wamkukojoa??Na umri wangu huu huwa bado natatizwa. Labda wakuu mwaweza msaidia ODM kufumbua hili fumbo.
Eti ni kweli?
Wanaume wanapokojoa (haja ndogo) lazima wateme mate?
Wanawake wanapokojoa (haja ndogo) eti ni lazima waachie kaushuzi japo kiduchu?
Niko kitandani huku nasubiri mauzoefu yenu jamani, mie nimetatizwa:
Angalizo: Hakuna kucheka wala kuchakachua.
Baada ya kusema hayo, naomba niwatakieni wikiendi njema na sikukuu njema ya Eid el Haj........
Hahahaha! Nimejikuta nacheka kwa sauti.......... Na ni shemeji yangu yupi aliye zamu leo?age mate... kutema mate inategemea, sometimes unakua kwenye mazingira magumu, ila niko na shemejoyo hapa wichita, ananiambia si lazima kujamba wakati wa haja ndogo, inategemea mazingira, wakati na tabia... kwani mkeo huwa anajamba wakati wamkukojoa??
Ahsante, nimeshaelewa!Skhamoo babu..
Na kwaheri babu.......
RR,,,, you are daym rightAspirin, nimepata shaka kidogo... Hivi utafitu huu liufanya kwa muda gani na kwa sample gani? Mi sioni shida kabisa kama mtu atafanya hivo hasa mtu mwenyewe akiwa chooni ila kwa kweli siwezi kusema kua it is a routinewakienda haja ndogo lazima hii itatokea... Nitaanza kuchunguza alafu nitakupa pasenteji.
However, however, however..... Nina wasiwasi research yako nzima sio kweli. Mbona hapajaonekana mwanamke hata mmoja mwenye kuthibitisha haya??? I dare you to bring us 5 of them washuhudie hapa!
Wanaume wanapokojoa (haja ndogo) lazima wateme mate?
Hahahaha! Nimejikuta nacheka kwa sauti.......... Na ni shemeji yangu yupi aliye zamu leo?
Ahsante, nimeshaelewa!
mkuu mbona unagonga ikulu??Sasa wanapo kunya je si ndo wanatapika kabisa
Hujajibu ni mamsapu yupi? Kama ni yule wa juzi basi anakuongopea.RR,,,, you are daym right
Mamsapu wangu amekanusha vikali na kusema kwamba babu atakua alikula cha arusha bila kujijua, halafu akapata hallucination za kusikia sauti za vijambo
Hahahahah.......mpwa yale matoilet ya Tandale lazima uteme mate wakati unamwaga mkojo wa brown!Sasa wanapo kunya je si ndo wanatapika kabisa
Siku ntakapotoka na wife out, nadhani mwisho wa dunia utakuwa unakaribia.Mama watoto wangu mwenyewe, tatizo lako kamanda umeanza kuwa kama wale yosso tuliowasepa kule kutokana na jungu.... au hujawahi kumtoa mama nje ya border nini?