Gentries, kuna sababu nyingi sana za watu kuowa/kuolewa,moja wapo imani, kwa imani yangu kuowa/kuolewa ni nguzo moja wapo katika ibada, na ukiowa/kuolewa umekamilisha ibada,mungu allijua binadamu ni dhaifu sana na nilazima atatamani kufanya tendo[mapenzi], ukiwa hujaowa linaitwa udhinifu au zinaa ila ukiowa/kuolewa linaitwa tendo la ndoa,na ni zambi kumnyima mwezio..........pia katika bibilia imeandikwa sikumbuki methali ngapi '' heri ya walio wawili maana mmoja akianguka, mwingine atamnyajua, na ole wao walio peke yao maana wakianguka hakuna wa kuwanyanyua" hizi katika imani then kunaa za kibinadamu..................