Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajamba na kuwasha feni hapo hapo, hahahahahNgoja waje mm nimewahi siti tu...
Hivi kama lengo kuu ni kupata watoto,kuna haja gani kuoa?watoto Tatar ninao naoa ili nini sasa?
Wanawake wanazingua sana mkuu.Huna tofaut na mwizi au jambaz, hana kazi halali ila pesa anapata na maisha yanaenda.
Wanawake wanazingua sana mkuu.
Nimuhimu sana. Kwamaana watu wawili mke na mume wanakaa pamoja na kuujaza ulimwengu na sio kuwa kama jogoo ambao sio rational wanapanda mitetea yote anavyotaka.Kwahiyo ndoa sio muhimu..?
duh!!! raster man[me]Naomba kujua jinsia yako please..