Eti leo jumapili umejifanya kutuongoza sala wakati jana juma mosi ulikuwa juu ya meza🤣

Hata imekuwa mtu akiwa ndani ya Kristo, amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita; tazama, yamekuwa mapya.

Mkuu hata kama ulikuwa used namna gani ukija kwa yesu unakuwa bikra wahuni wanakukamia upyaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…