Eti "Leo Simba Anacheza" ndo tafsida ya Mwanamke kuwa katika Hedhi, Hii sio kejeli kweli?

Tafsida: ukisikia unaambiwa yanga ndio anaenda kucheza muda huu ujue mtu yuko anaenda kunya maana mavi ni ya njano,

Tafsida: Ukisikia simba anacheza ujue mwanamke yuko katika siku zake, unaomba mzigo mtoto wa watu anakueleza lakini leo simba anacheza, kama hauelewi wewe boya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…