Eti Lowassa anajiandaa kusilimu

Eti Lowassa anajiandaa kusilimu

Jamani yamezungumzwa mengi na yataendelea kusambaa mengi kuhusu Lowassa, yule waziri mkuu aliyeamua kuachia ngazi baada ya kukumbwa na kashfa.
Moja kali ambayo nimeipokea tangu asubuhi, lakini sikuweza kuipost kwa kuwa JF haikuwa hewani ni kwamba huyo jamaa anajiandaa kusilimu na kuwa Mwislam na baadaye kutubu makosa yake.
Inasemekana anafanya hivyo baada ya kushauriwa na zaidi sana ili kuimarisha urafiki wake na Jakaya Kikwete.
Sina uhakika na hilo, ingawa lipo linasemwa sana kwa sasa. Yaelezwa kuwa kiongozi mmoja wa Uislam anajiandaa kumpokea na kumpa mafunzo.
Hebu tazama picha yake akiwa na kanzu na balaghashia ambayo sidhani kama imepigwa wakati huu wa habari hiyo.


...as usually not so sure,just speculations!! Why dont you deal with Chenge for a change, this Lowassa guy has been long gone!!come on!!
 
Sentensi yeyote ikianza na "eti" hata kuitetea si rahisi kwa kuwa hilo neno hutumiwa zaidi na wasiijiamini!
 
Back
Top Bottom