Eti lugha gani iko romantic zaidi kwenye mapenzi?

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifikiri ni lugha ipi Ina maneno matamu ya kimahaba ambayo unahisi ukimwambia hata mpenzi wako anafurahi na kuridhika.

Je, ni kihindi za Kuch Kuch Hota Hai? Ama ni kingereza chetu cha kila siku cha I love you and the love is true.

Au labda kiswahili chetu ndio kinanoga zaidi cha Marhaba Habibi. Nyonga mkalia ini.

Au ndio zile Baby I wanna surprise you. Halafu unasikia Baby nataka nikupe mshangao.
 
Kaka...
Hizo zinafaa kwenye mapenzi ya dhati tu. Mi nishaongeaga mbaka lugha za mbinguni na nikachapiwa.
Duh!hahaha sema kweli Ila lugha kama kichina Kama vile mnatukanana duh[emoji23][emoji23]
 
Ila muwe mnaeka DP zenu basi sema hawa JF hawaoneshi gender wanazingua[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ila muwe mnaeka DP zenu basi sema hawa JF hawaoneshi gender wanazingua[emoji848][emoji848][emoji848]
Rudi 'fesibuku'.

Kwanza humu JF haina kitu kinaitwa DP wala bp huku Kuna kitu kinaitwa AVATAR.

Na kuhusu gender utafahamika kwa mawazo au mwandiko wako..Kama wewe Ni shemale au choko au mwanaume wa ukweli tunakunyambua tu kwa maandishi yako na fikra zako.

Kazi kwako!
 
Oooh kumbe Its called Avatar I'm a newcomer ndo naanza kugain experiences hata hivyo gender ni rahisi kutambua.
Wasichana huandika short texts na wanatumia contractions sana
 
Kila lugha inakitosheleza kwa watu wake husika, na hutegemea nani anazungumza nini na wakati gani.

Ahsante.
 
Mkuu kwenye mapenzi ni PESA ndy kila kitu,, ,hakuna lugha wala maneno Matamu zaidi ya PESA,
Kwenye pesa hata BUBU husikilizwa,,tena atasifiwa anaongea maneno Matamu sana,,
Tena very romantic..
 
Una umri gani wewe?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kihehe kipo vizuri badala ya kuzunguka sijui I love you, kihehe ni simple sana unasema tu "ngukuwenda" umemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…