zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifikiri ni lugha ipi Ina maneno matamu ya kimahaba ambayo unahisi ukimwambia hata mpenzi wako anafurahi na kuridhika.
Je, ni kihindi za Kuch Kuch Hota Hai? Ama ni kingereza chetu cha kila siku cha I love you and the love is true.
Au labda kiswahili chetu ndio kinanoga zaidi cha Marhaba Habibi. Nyonga mkalia ini.
Au ndio zile Baby I wanna surprise you. Halafu unasikia Baby nataka nikupe mshangao.