Eti lugha gani iko romantic zaidi kwenye mapenzi?

Eti lugha gani iko romantic zaidi kwenye mapenzi?

Lugha ambayo mwenzio ataielewa kiufasaha pindi itakapo zungumza nae. Na lugha sio tatizo, tatizo ni mpangilio wa maneno na utamkaji wako ndio utafanya uwe romantic au la
 
Kaka...
Hizo zinafaa kwenye mapenzi ya dhati tu. Mi nishaongeaga mbaka lugha za mbinguni na nikachapiwa.
zipi hizo? Ulichapiwa 7bu malaika hawakupenda, weee unajua hiyo lugha alitumia masihi wa bwana na kufanikiwa kumuopoa mrembo wetu Rose Muhando, hadi kumsifia kwa utamu wake,

Afu wee ukataka kuweka remix, malaika waliogopa kesi ya uhaini wakakupiga changa la macho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naunga mkono hoja, Hispaniola na jamii yote ya latina ndiyo lugha inayoongoza kimahaba duniani
Ila msisahau kihindi bana

Yaani ukiangalia movie za Shahrukh Khan anavyoyapamba maneno ya kimahaba hadi unapenda
 
Kwa kifaransa j'aime inatumika kusema "I love you" naamini lugha haiongei
I love kwenye lugha mbalimbali

Kiha -Ndagushima

Kikurya-Nkohanshire

Kihindi-Humko Tumse Pyaar Karata Hoon

Kiswahili-Nakupenda

Kifaransa-Je t'Aime

Kihispania -Te Amo

Italiano-Mi Amor
 
Kifaransa neno I love u lenyewe
Hawalijui Ila maybe kihindi wanaeza ju

Humko Tumse Pyaar Karata Hoon
Mkuu mpenzi wako anaweza kukuletea kibunda cha karata ukitumia hii lugha ..😀
 
Nakumbuka kuna colleague mmoja mwanaume alikuwa always anaongea na mkewe kiswahili nikamuuliza why maana najua wakenya wanapenda sana mother’s tongues na walikuwa wanatoka kabila moja na mkewe. Alinijibu akiongea na mkewe lugha ya mama anamuona mbaya ana muona kama Askari tu heri kiswahili kiko romantic
 
Back
Top Bottom