Eti maisha ya seminarini yameniharibu...

Eti maisha ya seminarini yameniharibu...

kaeso Mdgo wangu, Yaani hata likizo ulikuwa hurudi nyumbani jamani?! Maana walau ungepata muda wa kujichanganya na watoto (ma-binti) wa majirani n.k. n.k....Lakini kama Mr.Rocky alivyoshauri, "take your time" wewe ni mtoto wa kiume, huhitaji kufundishwa jinsi ya kumweka sawa mtoto wa kike. In time, mie nina hakika ukimpata wa kukugusa, mistari itakutoka hadi utajishangaa;-). Lakini vile vile, kama ni wito, then jihoji nafasi yako pengine wewe ni wale wa kuchunga kondoo! Ila hata mchunga kondoo inabidi awajue kondoo wake hivyo ni vyema tu ukawa na ufahamu juu ya yanayojiri kwa vijana wenzako
Nawakilisha......
 
Back
Top Bottom