Eti Makamba nae ameshtushwa na utitiri wa vituo vipya vya mafuta! Adai hana majibu

Eti Makamba nae ameshtushwa na utitiri wa vituo vipya vya mafuta! Adai hana majibu

Kuna kimoja kimejengwa kawe pembeni ya kituo cha mabasi, yani ni kaeneo kadogo na nyumba zimebanana sana,
Zikiingia daladala tatu hazienei, Lori kubwa la mafuta haliwezi kuingia, labda hayo mafuta watakuwa wanaleta na kirikuu,
Ngoja na mimi nitafute pampu za mafuta!
 
Waziri wa Nishati, January Makamba ameshtushwa na utitiri wa vituo vipya vya mafuta vinavyojengwa nchini huku akiwaomba NEMC na Ewura taarifa imekuaje?
Acha vituo vijengwe kwanza vinapendezesha mji kwani kwa standard kituo kikijengwa kunawekwa na supermarket

Sheria zilizopo hazitekelezeki kwani unapokuwa unataka mita 100 au 200 toka makazi ya watu kwa DSM haiwezekani.
Vituo vijengwe vijana wapate ajira wenye magari na wananchi wapate huduma na miji ipendeze. Ova
 
Basi tutafute mahali tukae wote tushangae tukimaliza tuendelee kudanganyana kwenye mambo mengine.
 
Back
Top Bottom