Ukishakuwa na multiple ids lazima ujue kuzi manage, unaanza kama spika then unamaliza kama mandieta.Hv spika=mandieta au?
Poa mkuu!
Nimekupata lady pepeta.Anapataa tena kwa uhakika bila chenga hata me imenitokea,hata kama mtoto ana miezi nane,amwachishe kunyonya na ikiwezekana kama alikuwa analala naye mtoto aache mara moja,joto la mama kama mjamzito pia huchangia kumwathiri mtoto kama alikuwa bado hajaacha kunyonya,alafu wazazi wa mtoto mfuatilie maendeleo ya mtt mara kwa mara sababu wtt kama hao hupatwa na mshtuko hivyo huitaji uangalizi wa khali ya juu,lishe bora izingatiwe kwa usahihi,ANGALIZO ,asithubutu kujaribu kutoa hiyo mimba ikiwa ni moja ya sababu za kimaadili,pia inaweza ikamsababishia matatizo makubwa kwa kuwa viungo vya uzazi vilikuwa havijatengamaa vizuri,japo sina hakika sana lakini suala la kutozaa tena linaweza kutokea na hamuwezi jua mungu alipanga nini kwenu mimi nilishika mimba mtt wangu wa kwanza akiwa na miezi tisa lakini nilijipa moyo nikalea na kuzaa mtt.mtt wangu mkubwa alipofikisha miaka minne rafiki yangu alimchukua na mpaka sasa haieleweki alienda nae wpi hadi sasa aliko mwaka huu mwezi wa kwanza ametimiza miaka 11,na nimebakiwa na yule mtt aliyedandia njiani ndo faraja yangu,nimejaribu tu kufafanua uwezo wa mungu lakini cha muhimu avute muda akapime tena ili apate uhakika
naombeni kufahamu juu ya hilo pls.
nataka nimpeleke mtoto kwa bibi yake bush,hii si poa??au mnanishauri vp???
mmmmh! Haya mamaa!! Hw r u anyway??inawezekana kama unaona huko atakuwa kwenye uangalizi mzuri zaidi
Yes, very much possible kubeba mimba while lactating. Hongera ndugu, kweni hujawahi kusikia mapacha wa nje, basi ndio hizo mimba na wanakuna wana 9 to 11 months gap.
Mwambie asubiri mpaka 8 weeks atakuwa na uhakika wa kujua kama ni mimba imetinga.
naombeni kufahamu juu ya hilo pls.
Mkuu,mbona uliwah sana,c ungetafuta hata part time nje.
we mandieta koma kunijibia ok?
Wacha usenge wako bana,
Thanks...power to the people kwa ushauri wako mzuriKubeba mimba ukiwa unanyonyesha ni jambo la kawaida sana. mimi yamenitokea na nilikuwa nimeshaweka kinga (kitanzi ) lakini within a month mimba ilikuwa ishaingia na hata sikujua mpaka niliposikia mtoto anacheza karibu nidondoke kwenda kwenye ultra sound i was 17 weeks pregnant. ulikuwa ni mshike mshike mtoto was only 11 months meaning that i got pregnant wakati akiwa na miezi saba.
Daktari kaniambia ninaweza kuendelea kumnyonyesha mtoto bila shida yoyote lakini nilitakiwa nile balanced diet (sio mtori na uji wa ulezi) Hiyo ya kwamba usimnyonyeshe mtoto ni oldwives tale unaweza ukamnyonyesha mtoto wako mpaka wakati unaenda kujifungua na kama maziwa yako ni mengi ukaendelea kumnyonyesha hata baada ya huyo mwingine kuzaliwa.
Hapa ninaongea from experience mtoto wangu ananyonya na anaendelea kunyonya na mpaka sasa hivi sijaona shida yeyote ile kwangu au hata kwa mtoto. Afya yake inazidi kuwa nzuri kila siku.