Anapataa tena kwa uhakika bila chenga hata me imenitokea,hata kama mtoto ana miezi nane,amwachishe kunyonya na ikiwezekana kama alikuwa analala naye mtoto aache mara moja,joto la mama kama mjamzito pia huchangia kumwathiri mtoto kama alikuwa bado hajaacha kunyonya,alafu wazazi wa mtoto mfuatilie maendeleo ya mtt mara kwa mara sababu wtt kama hao hupatwa na mshtuko hivyo huitaji uangalizi wa khali ya juu,lishe bora izingatiwe kwa usahihi,ANGALIZO ,asithubutu kujaribu kutoa hiyo mimba ikiwa ni moja ya sababu za kimaadili,pia inaweza ikamsababishia matatizo makubwa kwa kuwa viungo vya uzazi vilikuwa havijatengamaa vizuri,japo sina hakika sana lakini suala la kutozaa tena linaweza kutokea na hamuwezi jua mungu alipanga nini kwenu mimi nilishika mimba mtt wangu wa kwanza akiwa na miezi tisa lakini nilijipa moyo nikalea na kuzaa mtt.mtt wangu mkubwa alipofikisha miaka minne rafiki yangu alimchukua na mpaka sasa haieleweki alienda nae wpi hadi sasa aliko mwaka huu mwezi wa kwanza ametimiza miaka 11,na nimebakiwa na yule mtt aliyedandia njiani ndo faraja yangu,nimejaribu tu kufafanua uwezo wa mungu lakini cha muhimu avute muda akapime tena ili apate uhakika